Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,934
Tunaishukuru Serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea tukio hili katika nchi yetu
Hili tukio limeletwa na meya wa Daslamu . ...😅Tunaishukuru Serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea tukio hili katika nchi yetu
Hovyoo!!Tunaishukuru Serikali ya awamu ya tano kwa kutuletea tukio hili katika nchi yetu
Hii ni kati ya saa 2:07 na 6:17.....Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kutatokea tukio la kupatwa kwa mwezi Januari 10, 2020 saa 2:07 usiku hadi saa 6:17 usiku wa kuamkia Januari 11, 2020 na tukio hilo litaonekana sehemu yote ya Tanzania.
Taarifa iliyotolewa na TMA jana Alhamisi Januari 9, 2020 imeeleza kutokea kwa tukio hilo hakuna athari zozote kubwa zinazotarajiwa kutokana na hali hiyo.
Hata hivyo, mamlaka hiyo imeeleza upo uwezekano wa kuongezeka kwa kina cha maji katika bahari wakati maji kujaa, hali hii ikiwa inasababishwa na mvutano kati ya mwezi na maji katika bahari.
TMA imesema hali ya anga inatarajiwa kuwa yenye mawingu kidogo hali ambayo itatoa nafasi nzuri ya kuonekana kwa tukio hilo kwa macho.
Tukio hili hutokea au kujirudia mara chache sana katika eneo husika, hii ndio sababu kwa watu wa eneo husika na wanasayansi limekuwa ni tukio muhimu na la kipekee
Hali ya kupatwa kwa mwezi ni tukio la aina yake linatokea pale ambapo dunia inapita kati ya Jua na Mwezi, hivyo dunia husababisha kivuli katika uso wa mwezi.
Muda wa kufunikwa kabisa ni dakika chache tu katika eneo husika.View attachment 1318248
Jr
Hii yako ni mpya mzee.Kupatwa kwa mwesi sio dunia hupita katikati ya jua na mwezi,bali hizo njia za ununurishaji wa uhai,hufanyiwa marekebisho na viumbe waliotuzidi maarifa(miungu),endapo dunia ingekuwa tufe na ingepita katikati ya jua na mwezi kwa kuwa vyote vina asili ya miale basi vingetumulika vyote na usingeona tofauti yeyote eiza weusi au wekundu mbele ya jua ama mwezi,.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani lunar eclipse iko on (imeshaanza) tatizo ni kuwa labda wengi hamjui kuwa ina stages na sio kitendo cha dakika sifuri. Ikifikiwa kwenye penumbral stage ni ngumu ku observe angalau ikiwa kwenye partial eclipse unaanza kuona na ikiwa kwenye total eclipse ndio unaona sasa vizuri.
Ndio ni yangu na si ya kwako iyo unayoiamini wewe.Hii yako ni mpya mzee.
Lazima ifike total eclipse. Stage ya mwanzo ndio hiyo penumbra as dunia inaanza taratibu ku cover uso wa mwezi, hii stage sio rahisi kuona kwa naked eyes.Hivi, huwa inaweza ikaishia kwenye penumbra eclipse isifike total eclipse?, maana nilikua naskia redioni wanasema tunaweza tusiobserve kwa kuangalia kwa macho eti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, I wish nione hiyo total eclipse, ila saa 8 duh nasinzia vibaya hapaLazima ifike total eclipse. Stage ya mwanzo ndio hiyo penumbra as dunia inaanza taratibu ku cover uso wa mwezi, hii stage sio rahisi kuona kwa naked eyes.
At total eclipse the earth's umbra completely ina cover mwezi ndio ile unaona bloody moon.