The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 204
Nakumbuka mwaka 2018, nikiwa na kampuni fulai tulikuwa tunatengeneza barabara mkoani Rukwa. Barabara ilianzia kijiji kimoja kinaitwa Kizi kuishia Lyamba lyamfipa.
Kama utaratibu wa mikataba ulivyo, tulitoa ajira kwa wanakijiji kadhaa kama vibarua. Kampuni yangu ilikuwa na shida ya kufanya malipo kwa wakati. Na kule kijijini umeme na mtandao ulikuwa wa shida kidogo.
Vibarua wale wakadhani pesa imetumwa na mimi nazingua. Siku mmoja alfajiri nikajikuta nimeamkia kwenye mlango wa chumba changu. Wakati usiku nililala ndani. Ikabidi niwaite niwaeleze kimzaha lakini nikimaanisha kwamba hata mimi sikupewa ujira wangu.
Walielewa na kuanzia hapo tukawa marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app