Recent content by operatons

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mmh hii hatari! Chezea sehemu yeyote ya mwili wa.....

    Yaan mambo mengi aise! sasa sijui tukusifie , tukushauri au tucomment nn kwenye hilo bandiko lako hebu weka picha ya huyo demu wako kwanza labda tutapata pa kuanzia
  2. O

    JamiiForums Tanzania Benki ya posta imekumbwa na nini?

    unaweza ukawa na mkosi tu,. waone jamaa waotumaga msg kuwa wao ni waganga et wamemsaidi summry kuwa na mabasi yake watakusaidia kupunza mkosi siku ukienda posta B utakuta mambo ni moto!
  3. O

    JamiiForums Tanzania Hatima ya DECI ni nini?

    dah! mi ilibakia siku saba tu nikavune jamaa wakabonyeza button ya off mpaka leo nadhan ishaharibika haiwezi kuwa on tena!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Simu za zamani (old phone): Laini ulinunua bei gani?

    JAMAA wa TRITEL waliniuzia 12,500 aise hatari sana ukim beep mtu akapoke sekunde moj wamekata 600, vocha ya bei ya chin 5,000 ikifika siku 30 inakata yenyewe kama vile umejiunga kifurushi jamaa walikuwa nuksi wale!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tecno bhana!

    wabongo kwa mapenzi siwawezi yaani mnavyowapenda sumsang ,htc, nokia, sijui na kina nani basi mnataka na ss tuwapende hao hao kila mtu ana mapenzi yake bana
  6. O

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma sasa kwisha

    kimsingi mabadiliko yataleta ufanisi, ww unaongelea siasa kuwa anajilimbikia madaraka, sisi watu wakawaida tunaona yana tija na yanapunguza urasimu na kuongeza uwajibikaji wa hawa ma Afsa mipango ambao wanajiona ardhi ni mali yao wanaweza kukunyanganya wapendavyo na kumpa wanayemtaka ila kwa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania TLS haitausahau uongozi uliotukuka wa Tundu Lissu

    kuna watu wanamapenzi ya kupenda watu wengine aise, mpaka shetani anaweza kuogopa hayo mapenzi yenu kwa tundu lissu
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    we jamaa kama kuna kaukweli flani hiv!
  9. O

    JamiiForums Tanzania Millard na shilawadu najua 100% mmeumia kutocover tukio la Jana.

    clouds fm wabinafsi sana na wana njama mbaya sana kwa wasanii ila wanawatumia sana baadhi ya wasanii kujinufaisha nadhani watu wengi wanalijua kwa sasa!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: baadhi ya key kwenye PC yangu zimeacha kufanya kazi

    M ILINISUMBUA NIKAENDA KUNUNUA KEYBOARD KARIAKOO KWENYE DUKA LA MKONGO baada ya kwenda kwa wahindi posta kutaka kunipiga hele ndefu
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

    ngosha ana maneno ya moto sana ukitulia kuyasikiliza
  12. O

    JamiiForums Tanzania ‘Ndege Ya Wachawi’ yaanguka Newala

    hope ni ka hope ni kama eneo wanaloliita shimo la Mungu karibu na Redio Newala FM pale Newala Pamekaa vibaya kwa matukio ya ajabu ajabu
  13. O

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    ninacho sema hapa mbona ninacho hico cha antena na hakifanyi kazi huku mpanda nadhani ni hicho cha 34,000?
  14. O

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    STARTIMES, mliniambia nikija na kingamuzi chanu cha antena huku mpanda kitafanya kazi mbona hakifanyi kazi?
Back
Top Bottom