‘Ndege Ya Wachawi’ yaanguka Newala

‘Ndege Ya Wachawi’ yaanguka Newala

hope ni ka
entertainment-1.jpg
Chombo kinachodaiwa kuwa ni ‘Ndege ya Wachawi’ kimeanguka katikati ya barabara wilayani Newala Mkoani Mtwara na kuzua taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo.
entertainment-5.jpg

Tukio hilo la aina yake limejiri hivi karibuni wakati chombo hicho maarufu kwa jina la ‘ungo’ kilipodondoka wakati kikikatiza angani​

entertainment-6.jpg

entertainment-9.jpg

hope ni kama eneo wanaloliita shimo la Mungu karibu na Redio Newala FM
pale Newala Pamekaa vibaya kwa matukio ya ajabu ajabu
 
Yawezekana kuna mtu anafanya tafiti juu ya uwezekano wa kuanzisha tawi la benki, kiwanda, ....
 
hope ni ka

hope ni kama eneo wanaloliita shimo la Mungu karibu na Redio Newala FM
pale Newala Pamekaa vibaya kwa matukio ya ajabu ajabu
Sio Newala tu!!! Li-inji lote lipo kishirikina.
Ulozi wa kiafrika hauafikiani na maendeleo
 
Hasira za Trump kutaka kuonana na kiduku naona wameamua kuonyesha silaha zao kuitisha USA
 
Mbona kama kiji toy mtu katengeneza ampe mtoto wake achezee?
 
Watanzania hamna tukiwezacho Ila ushirikina Na uchawi. Taifa hili linejengwa kwenye misingi ya matambiko, mazindiko, makafara Na ibada za sanamu ikiwemo ibada za mwenge. Vyote hivi ni machukizo mbele ya Mungu aliye hai.
Tusipotubu, hatutatoboa kamwe
Na huu ndio ukweli tutabaki hapa hapa bila kukombolewa kifikra moshi wa mwenge na haya mazindiko hatutoboi
 
Mmesahau kwamba "Bunge la Katiba" lilikuwa na mwakilishi wa waganga wa kienyeji? Only in bongoland.
 
Back
Top Bottom