Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,816
- 33,487
akili yako inafanya kazi kweli? sasa mtumishi yeye ananyoshwa vipi hapo! hata huyo myoa mada ameandika watumishi kwisha as if mtumishi anaathirika.Acha mnyooshwe
akili yako inafanya kazi kweli? sasa mtumishi yeye ananyoshwa vipi hapo! hata huyo myoa mada ameandika watumishi kwisha as if mtumishi anaathirika.Acha mnyooshwe
Wakuuu natazama taarifa Ya habari hapa naona Rais Magufuli amebadilisha utaratibu wa wakuu wa planing Ardhi majengo na maji wa Halmashaur ya wilaya kuwa sasa watawajibika Kwa wizara moja Kwa moja.
Hiii ni hatari Sana kumbukeni kuwa alipoingia madarakani alibadilisha ule utaratibu wa kuwapata madasi yani makatibu tawala wa wilaya na wakurugenzi akawa anawateua yeye.
Kinachooonekana ni kuwa anataka watumishi wooote wawe chini yake, ndio maaana anabadilisha utaratibu wa kisheria yani anaposema mtu afukuzwe moja Kwa moja hiii si sawa ni ukandamizaji wa Hari Ya juuu maaaana mtu hataweza kujitetea popote.
Wakuu huyu baba anataka kila kitu kiwe chini yake na falsafa yake ni fukuza fukuza hili ni janga kubwa Sana tena Sana watumishi sasa wanaenda kufukuzwa Kama njugu.
Lakini pia madiwani wamenyang'anywa madaraka sasa maaana wakurugenzi hapo awali walikuwa wanawajibishwa na madiwani sasahivi Diwani hawezi kuthubutu ataaambiwa weeee Mimi nimeletwa hapa na rais na Mwisho had walimu watakuwa chini yake wakuu hili ni janga
sio lazima ufanye madudu wewe. kumkuu wa idara ya fedha mafia amefukuzwa kazi kwa kumlatalia mkurugenzi ndugu erick mapunda aliyeteuliwa na MAGUFULI kufuata taratibu za pesa. umekaa hapo ulipo unabwabwaja tu kama kasuku
Mtumishi akzingua kwenye kaz ndo atakaponyooshwa nduguakili yako inafanya kazi kweli? sasa mtumishi yeye ananyoshwa vipi hapo! hata huyo myoa mada ameandika watumishi kwisha as if mtumishi anaathirika.
watu wa kawaida ni akina nani na wanaishi wapi? wanajishughulisha na ninikimsingi mabadiliko yataleta ufanisi, ww unaongelea siasa kuwa anajilimbikia madaraka,
sisi watu wakawaida tunaona yana tija na yanapunguza urasimu na kuongeza uwajibikaji wa hawa ma Afsa mipango ambao wanajiona ardhi ni mali yao wanaweza kukunyanganya wapendavyo na kumpa wanayemtaka ila kwa ambaye anata kuzungumzia siasa ana uhuru. Magufuri wawekeke sawa wababaishaji
"AJINYEE" hahahahahahUkiritimba hautaondolewa na kuzihamisha hizo idara! Mzee baba mpaka ajinyee awamu hii, aliyataka mwenyewe!!