Recent content by Oneya Fuko

  1. Oneya Fuko

    Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    ................Aidha kwa mujibu wa Matangazo yaliyorushwa moja kwa moja na kituo cha redio Uhuru, Sophia Simba alisikika akisema kuwa mvutano mkali ulikuwemo ndani kikao hicho na wajumbe, Adam Kimbisa, Dk Emmanuel Nchimbi na yeye mwenyewe hawakukubaliana na maamuzi ya kikao yaliyofikiwa.
  2. Oneya Fuko

    Tra wanapiga simu za kuita watu kazini

    Ni kweli hata mimi wamenipigia cm. God is great
  3. Oneya Fuko

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Umesahau kuwa mapadri wangapi wa kiangilikana wamenusurika kuuwawa? Jaribu kuwa mkweli na si kujadili kitu kwa mapenzi yako
  4. Oneya Fuko

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Yeah! huo ndo ukweli wenyewe. Mi nadhani wakristo tuna viongozi legelege ambao hawajasoma alama za nyakati. Haiwezekani wenzetu wanaendelea kuuwawa alafu sisi tunajipa matumaini kuwa mambo yatajirekebisha yenyewe. Huo ni ulemavu wa kupitiliza. Bila kuchukua hatua, tutajikuta tumeshachelewa...
  5. Oneya Fuko

    Hivi hii imekaaje wadau?

    27.01.2013 ACG Consulting Ltd offers a one-month ‘Audit Training Program' which focuses on the basic aspects surrounding Financial Audit, Financial Reporting, International Accounting Standards (IAS) and International Auditing Standards (ISA). We are therefore pleased to announce that we...
  6. Oneya Fuko

    Ajira TZ

    Kama tumefikia Hatua Hii nadhani tumevuka mpaka. Nadhani Kuwa ipo siku mtu atatakiwa kutakiwa kupeleka vyeti vya D.N.A kwenye interview. this is invasion of Privacy. Assistant Researcher Job in Dar Es Salaam, Tanzania Assistant Researcher Consolatha Consultants ( Tz ) LTD. Date Listed: Oct...
  7. Oneya Fuko

    Ajira TZ

    Kama tumefikia Hatua Hii nadhani tumevuka mpaka. Nadhani Kuwa ipo siku mtu atatakiwa kutakiwa kupeleka vyeti vya D.N.A kwenye interview. this is invasion of Privacy.Assistant Researcher Job in Dar Es Salaam, Tanzania Assistant Researcher Consolatha Consultants ( Tz ) LTD. Date Listed: Oct 8...
  8. Oneya Fuko

    Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

    flashback Tanzania Police Brutality Zanzibar Nov 2005 Part 2 - YouTube
  9. Oneya Fuko

    Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

    ina maana wandishi wa habari wakiuawa ndo wanajifanya kustuka. vipi kuhusu wanachi waliokwisha kuuawa kwenye mikusanyiko mingine? tatizo ni aina ya waandishi tulio nao. si walikuwa wanajipendekeza leo wamegeuka.
  10. Oneya Fuko

    Hawa Zoom Tanzania Ni Namna Gani

    Tatizo watz hawachukulii vitu vya msingi serious. Wengi wao wanachukulia vitu kwa uwepesi!!
  11. Oneya Fuko

    DIAMOND awaomba radhi WATANZANIA

    shame on u
  12. Oneya Fuko

    Kazi kwa graduate bila kujali kozi aliyosoma!

    if you stand for nothing you will fall for anything???!!!!:juggle:
  13. Oneya Fuko

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Ama kweli wabongo ni wazembe wa kutisha, Umepewa link bado unalalamika, simu gani inaweza kufungua internet then ishinwe kufungua hata link? Hebu jaribuni kuwa na shukrani walau kidogo tu.
  14. Oneya Fuko

    Kitendawili kimetegwa - Kikwete Tegua...

    Mwaka 2007 Professor Watson wa DNA alisema kuwa ngozi nyeusi tuna mapungufu kwenye kufikiri tukampinga kuwa anatudhalilisha. Ila msomi mmoja akahoji, "je matendo yetu yanafanana na tunavyotaka kusifiwa hata kwa tusiyofanya?". Lengo ni kuhoji matendo yetu kama kweli sisi waafrika ni watu wa...
Back
Top Bottom