Ajira TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira TZ

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Oneya Fuko, Oct 9, 2012.

 1. Oneya Fuko

  Oneya Fuko Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kama tumefikia Hatua Hii nadhani tumevuka mpaka.

  Nadhani Kuwa ipo siku mtu atatakiwa kutakiwa kupeleka vyeti vya D.N.A kwenye interview. this is invasion of Privacy.Assistant Researcher Job in Dar Es Salaam, Tanzania

  Assistant Researcher
  Consolatha Consultants ( Tz ) LTD.
  Date Listed: Oct 8, 2012
  Email Address: Click to Email
  Phone: +255 712 224 139
  Area: Dar Es Salaam
  Application Deadline: Oct 16, 2012
  Start Date: Nov 01, 2012

  Position Description:

  Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo :
  1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45.
  2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea.
  3. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza.
  4. Awe amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na kupatwa na madhara AU
  5. Awe mwanamke ambaye yupo ndani ya mahusiano ya jinsia moja, yupo addicted na mahusiano ya jinsia moja na anatamani sana kuondokana na tabia hiyo ila anashindwa.
  5. Awe tayari kusafiri sehemu yoyote Tanzania.
  naombeni maoni yenu wanajamii forum
   
Loading...