nasikia kuna kitu kinaitwa tanzaniakwetu, umewahi kukisikia? Km ww ni muudhuriaji mzuri wa humu ndani utakuwa umewaona jamaa wanaojiita jigambeads, mara jigambe.com au muulize M-PESA inawezekana akawa anawajua hawo watu kwa undani zaidi.
Maana halisi naipata ila cha kufanya ni nn kama wafanya biashara kwa matangazo bila mafanikio? Au ww watangaza biashara yako wapi na kukupa faida ya juu?
Ni kutaka kujua tuu juu ya hilli.
Kwani wapo waliopoteza hela zao kwa kutangaza biashara zao, na wapo waliofaidika pia.
Je? Njia rahisi ya kufanya hili na likatambulika kwa haraka ni ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.