HESLB (BODI) na EQUIVALENT

Mkillindy

Member
Sep 14, 2011
37
4
Mpaka hv sasa wanafunzi walioomba mkopo kwa kutumia matokeo ya equivalent ktk chuo fulani hawajapata mkopo.
Cjui na ww pia u-mmoja wao/unajua chuo kingine au la!
Je, unafikiri ni nini tatizo au ni kwamba hawo wanafunzi hawaruhusiwi kupata mkopo??????

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
164
tembelea Mbeya Institute of Science and Technology | home page then cheki majina hayo alafu ingia website ya BODI uangalie km kuna mtu hata mmoja aliyepata then nijibu

hata sekuco wapo kibao waliokosa mkopo ambao walitumia equavalent na mature age eti wanadai wao ni wafanyakazi hivyo walipiwe na mabosi zao

Mkillindy

Member
Sep 14, 2011
37
4

hata sekuco wapo kibao waliokosa mkopo ambao walitumia equavalent na mature age eti wanadai wao ni wafanyakazi hivyo walipiwe na mabosi zao

Wanawanyanyasa tu watoto, kwani c wote wana ajira/wameajiriwa. Watakwenda wapi hawoooooooooooo?

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
164
ki ukweli serikali ilikuwa inawahimiza watumishi wake wajiendeleze walitoa mpaka waraka walichogundua ni watumishi wengi sana wameitikia wito wa kujiendeleza hususani walimu ambao wanajiendeleza na wengi wao wanabadili fani so serikali imeshtuka

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,402
5,056
nashindwa kuwaelewa hawa bodi kama walikuwa hawataki watu wa equivalent wasingeweka kipengele cha equivalent!

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
164
kuna rafiki yangu ni mwl wa primary amejiendeleza mwaka huu amepata chuo mkopo amepata asilimia 35 kachanganyikiwa balaa

rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
Kila mwanafunzi wa Kitanzania ni haki yake kupata mkopo kwa ajili ya elimu ya juu, lakini ngijangija zote hizo zinatokana na umasikini uliokithiri kwenye nchi yetu.

masg

Member
Oct 20, 2010
5
1
Watapata tuu mkopo, majina yaliyotolewa na bodi ni ya kupitia TCU na siyo NACTE. Kuna mkanganyiko kati ya hizi taasisi mbili ila cha msingi ni kuwa utapata maake na sisi tumepitia huko huko lkn tumepata.

Shamge

Member
Sep 4, 2011
21
0
kiukweli mimi kwa uelewa wangu mdogo, nadhani uongozi wa bodi ya mikopo huwa autambui nini maana ya mikopo ndio maana wanawasumbua walipa kodi wenzangu

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
768
Watapata tuu mkopo, majina yaliyotolewa na bodi ni ya kupitia TCU na siyo NACTE. Kuna mkanganyiko kati ya hizi taasisi mbili ila cha msingi ni kuwa utapata maake na sisi tumepitia huko huko lkn tumepata.
Hapo kwenye nyekundu ndio pana mantiki yote!

Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
71
Ni kweli mkuu kuna mkanganyiko sana kati ya TCU na NACTE,make TCU hawataki kusikia kabisa kitu Equivalent!.Ila sasa HESLB nao vipi wamewaunga mkono TCU?.Nashindwa hapa ni laumu mojakwamoja HESLB,TCU,au CHUO nilichoomba kwamba hawajapeleka majina HESLB?! Mbaya zaidi hata chuo nilichoomba hakijatoa majina,so si ajabu ni kweli hawajapeleka majina,lakini jina langu mbona silioni kati ya waliokosa HESLB?.

Lady N

JF-Expert Member
Nov 1, 2009
1,915
130
heslb wangeweka basi majina ya wote wiliotuma maimbi ya mkopo ili hata mtu ajue yuko wapi, maana kuna wengine majina hayajaappear kokote!!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,023
1,772
heslb wangeweka basi majina ya wote wiliotuma maimbi ya mkopo ili hata mtu ajue yuko wapi, maana kuna wengine majina hayajaappear kokote!!!

ukiona jina lako halipo sehemu yoyote elewa form yako haikufika.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom