website za tanzania zenye nafasi za kuweka matangazo (ad spaces)

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
64
19
Je una website au blog!? Katika hiyo website au blog, una nafasi ya kuweka tangazo la kampuni nyingine ili ulipwe!?

Jibu limepatikana. Watembelee www.jigambeads.com ijiandikishe na uanze kupata matangazo na website yako ianze kukuingizia kipato!
 
Eeee bwana, hiyo ni kazi ya watanzania au laah?
Kama nyinyi ni watanzania, hongereni sana na kazeni buti.
Mko juu.
 
Back
Top Bottom