Recent content by OMWITUMA

  1. O

    Rais wa jamhuri ya tanzania na makamu wawili wa rais akiwemo rais wa zanzibar

    Kwa mujibu ya matakwa ya wajumbe wa bunge maalum la katiba wanaopendekeza uwepo wa serikali mbili, kwamba kuwepo na rais na makamu wawili mmoja kama mgombea mwenza na rais wa Zanzibar awe makamu wa pili, swali RAIS WA ZANZIBAR ANACHAGULIWA NA WAZANZIBAR IWEJE AJE AONGOZE BARA AMBAO HAWAJAHUSIKA...
  2. O

    Hatima ya wahusika wa vyeti feki ndani ya Jeshi la Polisi

    Wadau kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu wale wote wanaotumia vyeti bandia kujiondoa kwa hiari linafikia tamati leo. Wadau wanasubiri kuona ni hatua gani zitachukuliwa kwa wale waliokaidi amri hiyo, mtihani huu mkubwa wa kwanza kwa mkuu mpya wa Jeshi hilo na timu yake...
  3. O

    Kuitwa Kazini TPDC

    Interview mwezi May na wakasema baada ya wiki tatu majibu yatatoka, lakini mpaka leo ni miezi 3 wako kimya au imebuma kama Uhamiaji?
  4. O

    UKAWA wanaambiwa warudi bungeni vipi wanaokwepa mawazo ya wananchi juu ya rasimu hawaambiwi ?

    Tumekuwa tukiwasikia viongozi mbalimbali wa serikali, dini, siasa na Asasi wakiwasihii UKAWA warudi bungeni kuendelea na mchakato wa katiba, mbona hatuoni nguvu kama hiyo ikitumika kuusihi upande wa pili kwenda kujadili rasimu iliyotokana na mawazo ya wananchi? Iweje ushauri ujikite upande mmoja...
  5. O

    Kwa hili kuna uwezekano kuwe na selikari tatu au moja.

    tuwe na serkali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye rais mmoja na mawaziri wakuu wawili mmoja wa Zanzibar na mwingine Tanganyika, katiba ya Zanzibar ifutwe tuwe na katiba mmoja tu ya Jamhuri ya muungano wa Zanzibar, kama inashindikana basi Tanganyika iwepo na katiba yake kama ilivyo...
  6. O

    Viongozi wa Dini ya Kiislam wawataka wajumbe wa UKAWA kurejea Bungeni kukamilisha utungaji Katiba

    Mbona hawawambii na CCM wakubali kujadili Rasimu iliyopendekezwa na wananchi? au wanaiogopa ccm, kikubwa hapa kila Mtanzania anajua kwanini ukawa waliamua kutoka bungeni ili kulimaliza hili wote wakubaliane kuwa wanaenda kujadili rasimu iliyotokana na mawazo ya wananchi siyo kujadili kitu...
  7. O

    Walijiuzulu au walifukuzwa!

    Jamani wana JF naomba kupewa ufafanuzi juu ya hawa mawaziri 4, kuna baadhi ya vyombo vya habari waliandika na kutangaza kuwa mawaziri 3 walifukuzwa ila mmoja alijiuzuru, vingine vingine vilitangaza wamejiuzulu na vingine wakatangaza Rais katangaza kutengua uteuzi wao huku mwingine akitangaza...
  8. O

    Unyama watokea kagera

    Tanzania eh, nchi yangu eh, Roma mkatoliki
  9. O

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Maamuzi yakishatolewa kinachofuata ni utekelezaji, lakini bado wahusika wanayo nafasi ya kukaa chini na kuyamaliza kiubinadamu kwani taratibu, sheria na kanuni zimewekwa na sisi binadamu, walioguswa na maamuzi mnayo nafasi kubwa ya kujitathimini kisha mkachukua uamuzi sahihi ambao ni kuona ni...
  10. O

    Internal investigation Officer- TRA

    Jamani wadau vipi kuhusu nafasi hiyo jamaa bado wako kimya au wameamua kuahirisha, au kuna mwenye taarifa atujuze tafadhali.
  11. O

    Jamani tumsaidieje huyu dada?

    nimejaribu kumwuliza kuhusu mkataba aliojaza una kipengele cha kukataza kubeba ujauzito anadai hakuna.
  12. O

    Jamani tumsaidieje huyu dada?

    Jamani tumsaidieje huyu dada? Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa. Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA...
  13. O

    Jamani tumsaidieje huyu dada?

    Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa. Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla...
  14. O

    Wakati mgumu kwa polisi na Mahakama:-

    Wadau hizi tuhuma kwa hawa wahusika ni muhimu zikafanyiwa uchunguzi kwani inatupa wakati mgumu kwetu sisi ambao tunawatoto wa kike tuamini kuwa tukifa watoto wetu wataishi maisha ya shida sana, lakini nikijiuliza sipati majibu sijui tumelaaniwa au wapi tumemkosea Mungu tuombe msamaha, siyo...
  15. O

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Inauma sana, pumzika kwa Amani ni njia ya wote nasi tu nyuma
Back
Top Bottom