KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,320
Watawezaje kumkamata na kumfunga mchungaji mbakaji wa Dodoma afu wakamuacha Kapuya akipeta?
Au inawezekana wakakamatwa wote afu kesi zikaisha kiaina!!
Mi nadhani mchungaji sasa atembee kifua mbele na awahadae waumini kuwa maombi yamemsaidia yeye kutokukamatwa na kuonekana hana kesi.