Tulia man TRA huwa wanakaa hata miezi minne kama sio mitatu ndio wanaita.....kwahiyo endelea kuwa mvumilivu, so far i called mtu mmoja ni mkubwa tu pale makao makuu kanivunja moyo sana ingawa alisema huo ndio ukweli kuliko anipe moyo alaf nibweteke.....the thing is husishangae ukisikia tra wanataka wayu watatu tu kwenye hiyo posiyion lakin wakaita watu hata 2000, mfano ni nafasi za accountants