Jamani tumsaidieje huyu dada?

Jamani tumsaidieje huyu dada?

OMWITUMA

Senior Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
119
Reaction score
29
[h=2]Jamani tumsaidieje huyu dada?[/h]
Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla hajaolewa, kwa hiyo kavunja masharti na adhabu yake ni kufukuzwa kazi, shirika lenyewe linashughulika na mambo ya mikopo midogomidogo kwa wananchi, Je, kwa sheria ya kazi hii ni sahihi? kwahiyo kama alipata ujauzito wao walitaka autoe? anadai mkataba aliojaza haukuwa na kipengele hicho. Je bado kuna mashirika yanaweza kuwa na sera au sheria za namna hii kweli au ni unyanyasaji kwa wanawake wenyewe wanafanyiwa kwani inasemekana mabosi wakuu ni wanawake na hawajaolewa, sasa wamemtumia Email ya kukabidhi kila mali ya shirika lakini hawataki kumpa barua ya kuachishwa kazi wala pesa za kusafirisha mizigo hadi kwao kama sheria ya kazi inavyosema pale mwajiri anapoamua kusitisha mkataba wa mwajiriwa wake. Tumsaidieje kiushauri wadau na pia hii inaweza kuwa somo kwa waajiri wenye sheria kandamizi zinazokiuka haki za binadamu. Ahsante naomba kuwasilisha ila msaada wa kisheria ni muhimu sana, mhanga kwao ni Shinyanga.😛arty:​
 
Weka mkataba wake wa kuajiriwa kwanza ili tukupe muongozo. (Usikurupuke)
 
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
:A S-heart-2:
 
Kaz zenyewe ngumu kupata, amepata anaanza mapenz kabla hajaolewa tena anataka kuibebesha kampun mzigo wa kulea mimba isiyo na baba wa halali kwa kumpa likizo yenye malipo. Hana hati miliki na ajira amefanya uzembe kazin, alistahili.
 
Ameshafanya kazi miaka miwili amepata uzoefu fulani mwambie ajifungue vizuri then aombe kazi kwenye makampuni mengine,hata hapohapo anaweza kuomba tena kama alikuwa anafanya kazi vizuri na kwa bidii unadhani kwanini watamkataa? Na kuhusu sheria asijisumbue kwenda popote kwani ndani ya hiyo miaka miwili alishazoeana na kampuni(anawajua/wanamjua) hivyo alijua wazi nini kingetokea baada ya kupata mimba ndio maana ameambiwa AMEVUNJA MASHARTI. Akarudi ajipange upya atapata tu kazi sehem nyingine au hapohapo
 
Mwambie apewe barua ya termination na reason ya kuwa terminated, swala la kuwa mjamzito sheria za kazi zinampa mama likizo ya miezi mi3 baada ya kujifungua!! Kama ameachishwa kwa ajili ya kubeba ujauzito na kwenye mkataba hawajaeleza hilo swala basi apeleke hyo barua ya termination kwa wanasheria alipwe hela ya kutosha mpaka mkataba wake utakapoisha!!
 
Hivi unajua ukiacha sheria za kazi kuna sheria za kazi ndani ya kampuni binafsi? Hayo masharti aliyoambiwa asivunje mbona hasemi ni yapi,na kwanini alikubaliana nayo? Ningefurahi wakati anaambiwa mtu akipata mimba atafukuzwa angekuja kupost hapa au angewaona hao wanasheria kabisa ili hatua zichukuliwe but amesubiri amepata mimba amefukuzwa kazi ndio anaomba ushauri. Sitetei hiyo kampuni(hata siijui) but kuna kazi huwezi kufanya ukiwa na mimba(kuumwa mara kwa mara,tumbo kubwa,kutapika ovyo,etc) ndio maana kuepuka hilo huwa wanaongea na wafanyakazi wao mwanzoni kabisa. Mwambie aje na details zote kabla ya kusaidiwa asitake huruma kwasababu ya ujauzito.
 
[h=2]Jamani tumsaidieje huyu dada?[/h]
Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla hajaolewa, kwa hiyo kavunja masharti na adhabu yake ni kufukuzwa kazi, shirika lenyewe linashughulika na mambo ya mikopo midogomidogo kwa wananchi, Je, kwa sheria ya kazi hii ni sahihi? kwahiyo kama alipata ujauzito wao walitaka autoe? anadai mkataba aliojaza haukuwa na kipengele hicho. Je bado kuna mashirika yanaweza kuwa na sera au sheria za namna hii kweli au ni unyanyasaji kwa wanawake wenyewe wanafanyiwa kwani inasemekana mabosi wakuu ni wanawake na hawajaolewa, sasa wamemtumia Email ya kukabidhi kila mali ya shirika lakini hawataki kumpa barua ya kuachishwa kazi wala pesa za kusafirisha mizigo hadi kwao kama sheria ya kazi inavyosema pale mwajiri anapoamua kusitisha mkataba wa mwajiriwa wake. Tumsaidieje kiushauri wadau na pia hii inaweza kuwa somo kwa waajiri wenye sheria kandamizi zinazokiuka haki za binadamu. Ahsante naomba kuwasilisha ila msaada wa kisheria ni muhimu sana, mhanga kwao ni Shinyanga.😛arty:​

Aende tume ya usuluhishi na uamuzi maeneo aliyopo watampa msaada zaidi, kitendo alichofanyiwa ni cha ubaguzi wa hali ya juu
 
Mkuu hata kama kuna sheria za ndani au masharti kwenye hiyo kampuni, masharti hayo hayapaswi kuwa juu ya Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini
 
Jamani tumsaidieje huyu dada?

Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla hajaolewa, kwa hiyo kavunja masharti na adhabu yake ni kufukuzwa kazi, shirika lenyewe linashughulika na mambo ya mikopo midogomidogo kwa wananchi, Je, kwa sheria ya kazi hii ni sahihi? kwahiyo kama alipata ujauzito wao walitaka autoe? anadai mkataba aliojaza haukuwa na kipengele hicho. Je bado kuna mashirika yanaweza kuwa na sera au sheria za namna hii kweli au ni unyanyasaji kwa wanawake wenyewe wanafanyiwa kwani inasemekana mabosi wakuu ni wanawake na hawajaolewa, sasa wamemtumia Email ya kukabidhi kila mali ya shirika lakini hawataki kumpa barua ya kuachishwa kazi wala pesa za kusafirisha mizigo hadi kwao kama sheria ya kazi inavyosema pale mwajiri anapoamua kusitisha mkataba wa mwajiriwa wake. Tumsaidieje kiushauri wadau na pia hii inaweza kuwa somo kwa waajiri wenye sheria kandamizi zinazokiuka haki za binadamu. Ahsante naomba kuwasilisha ila msaada wa kisheria ni muhimu sana, mhanga kwao ni Shinyanga.😛arty:

Mkuu OMWITUMA hakuna masharti yoyote ya Kampuni au Mwajiri yanayoweza kuwa juu ya Sheria -ELRA-2004.
Lakini pia ujauzito ni haki yake.
Labda kama hajakueleza vizuri sababu ya kuachishwa kazi kwake ,lakini kama kweli sababu ndiyo hiyo mshauri afanye hima kudai haki yake.

-Kuna maswali hapa yanafaa majibu .
1.Je amepewa barua ya kuachishwa kazi?
2.Kama amepewa je sababu za kuachishwa zimewekwa wazi?
3.Je ajira yake ilikuwa kwenye terms zipi-Mkataba wa Muda na kwamba Mkataba umefikia kikomo au?

Bila kusahau? madai ya kuachishwa lazima lafunguliwe ndani ya siku 30 toka kuachishwa kazi.
 
Last edited by a moderator:
Aende tume ya usuluhishi na uamuzi maeneo aliyopo watampa msaada zaidi, kitendo alichofanyiwa ni cha ubaguzi wa hali ya juu

Mkuu hapo ni mapema zaidi kuhitimisha maana mhusika hatuhakikishia kama kweli ujauzito wake ni sababu ya yeye kuachishwa kazi.
 
Nyie msimdanganye huyo dada. yeye anajua kabisa SEDA ni sub set ya shirika la dini ya Christian ministry. wale kabla ya kuanza kazi wanakupa manual (terms. and conditions ) mojawapo ni ukiwa binti hujaolewa huruhusiwi kupata mimba na ukiwa kijana wa kiume huruhusiwi kuwa na mahusiano au kumpa mimba binti. na hata wafanyakazi wa pale wengi wamefukuzwa kama itagundulika kuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzio ya kingono. wao wanaamini mume mmoja mke mmoja katika ndoa. nje ya hapo ni UZINZI na UASHERATI. dada huyo kafanya UASHERATI lazima afukuzwe kazi.
 
[h=2]Jamani tumsaidieje huyu dada?[/h]
Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla hajaolewa, kwa hiyo kavunja masharti na adhabu yake ni kufukuzwa kazi, shirika lenyewe linashughulika na mambo ya mikopo midogomidogo kwa wananchi, Je, kwa sheria ya kazi hii ni sahihi? kwahiyo kama alipata ujauzito wao walitaka autoe? anadai mkataba aliojaza haukuwa na kipengele hicho. Je bado kuna mashirika yanaweza kuwa na sera au sheria za namna hii kweli au ni unyanyasaji kwa wanawake wenyewe wanafanyiwa kwani inasemekana mabosi wakuu ni wanawake na hawajaolewa, sasa wamemtumia Email ya kukabidhi kila mali ya shirika lakini hawataki kumpa barua ya kuachishwa kazi wala pesa za kusafirisha mizigo hadi kwao kama sheria ya kazi inavyosema pale mwajiri anapoamua kusitisha mkataba wa mwajiriwa wake. Tumsaidieje kiushauri wadau na pia hii inaweza kuwa somo kwa waajiri wenye sheria kandamizi zinazokiuka haki za binadamu. Ahsante naomba kuwasilisha ila msaada wa kisheria ni muhimu sana, mhanga kwao ni Shinyanga.😛arty:​

Nadhani kitendo cha kufukuzwa kazi "ni kandamizi".

Nijuavyo mimi ni kwamba, mwajiliwa mpya anatakiwa kufanya kazi angalau miezi nane mpaka mwaka mmoja ili aweze kupewa "likizo" ya mwaka. Kuhusu likizo ya "uzazi" sifahamu.

Inategemeana sasa huyo dada ameshafanya kazi hapo muda gani?

Kwa kumsaidia, mwajili angemwacha aendelee na kazi mpaka mwezi wa nane wa ujauzito ndiyo ampumzishe. Pia baada ya kujifungua, kama ni kampuni binafsi huwa wanalipa mshahara wa mwezi mmoja na nusu tu. Baada ya hapo ukiamua kuendelea kukaa nyumbani haulipwi.

Tatizo linakuja kwamba kampuni nyingi siku hizi ni binafsi, haiwezi kukaa bila kuajili mtu kwenye nafasi yake. Nani atafanya kazi zake akiwa likizo ya uzazi?

Inahitaji busara sana kwenye kuamua.

Ila kama ni ujauzito siyo wa mumewe ni hatari zaidi.
 
Back
Top Bottom