Poleni abiria,,, hawa majambazi ni polisi wenyewe!!!!!!!!!
Tena kituo cha nyakanazi ni balaa wasijue kama una hela hutafika unakokwenda haijalishi uko kwa bus au private car..
Kuna siku nilitoka kahama kwenda bujumbura na gari kulikuwa na mtu ana hela kilichotupata sina hamu!!!
Majambazi yateka magari 18 ya mizigo, abiria wilayani Biharamulo jana. Abiria wapigwa, waporwa fedha, simu. Polisi yaendesha operesheni kuwasaka.
Wameanza kutafuta pesa kwa ajili ya sikukuu zinazokuja na Karo kwa ajili ya watoto wao January mwakani. Jamani wanaotumia barabara hiyo, kuweni makini kusafiri siku ya alhamisi kwani ni siku ya Mnada wa Ng'ombe Lusahunga na ijumaa ni siku ya mnada Nyakahura Minzani(Kama sikosei) so kutekwa ni njenje!!!!

Bora umelisema wewe mama, manake hizi huwa ni deals za watu, tena wakubwa!!!Hapo munzani ni pabaya sana polisi wanajifanya kulinda kumbe wanachukua details za wenye hela.. ili huko mbele wawateke!
... "tutakuja ambiwa kuwa ni wanaCHAMA wa..., ndiyo waliofanya uporaji"Poleni abiria,,, hawa majambazi ni polisi wenyewe!!!!!!!!!