Recent content by Omuzirambogo

 1. Omuzirambogo

  Makosa 4 aliyoyafanya Harmonize mpaka sasa

  Acha atafute maisha yake bwana...
 2. Omuzirambogo

  Kukamatwa kwa Ndege ya ATCL huko SA: Serikali imkamate mtoto wa Herman Steyn kwa kufanya udukuzi hapa nchini

  Sawa ila imetekwa ndege kwa amri ya mahakama kwa kosa gani?
 3. Omuzirambogo

  Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

  Unafahamu Kabendera Shinani baba wa Erick kabendera au umezinduka usingizini ukawaza tu kama beberu?? Na baba yake yalimkumba yapi hadi kujitupa ziwani?
 4. Omuzirambogo

  Wanaume nao hunyanyaswa kingono na Wanawake.

  mtoa mada bila shaka alikuw mpenzi wa vitabu vya Nyangwine
 5. Omuzirambogo

  Kwenu madada ambao hamjaolewa.

  Wee! Kuitwa "Mke wa Muzirambogo" ni cheo kikubwa. Utasikia "Sijui ana tatizo gani? Hajaolewa mpaka sasa"
 6. Omuzirambogo

  Kwenu madada ambao hamjaolewa.

  Kwasababu Mungu sio wa matukio ni wa muda wote. Mtafute Mungu tangu ukiwa mdogo ili uolewe kwa wakati
 7. Omuzirambogo

  Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini.

  nimeudhuria semina nyingi za aina hii, nimesoma makala nyingi za aina hii nimeona kama Mungu hajakufungulia ni kazi bure. Ni sawa na kuhudhuria semina za ndoa wakati wewe ni hanisi!
 8. Omuzirambogo

  Kafa akishiriki tendo la watu wazima

  basi wamenyolea nasi tutie maji. ndio maana mimi huwa naenda vigest vya kawaida. Ghorofa za nini?
 9. Omuzirambogo

  Musiba: Vodacom ilikuwa mali ya CCM mafisadi wakaipora, Nape kauza mitambo ya tv ya CCM, Mbowe anapoteza wanaohoji ruzuku

  kila kitu kina zama zake, Alivyoibuka Msiba sijui katokea wapi? Tulimzoea kusoma habar
 10. Omuzirambogo

  Sifa za ualimu Wa VETA

  mada tatanishi hii
Top