Mbuga 3 za Tanzania zaingia kwenye vivutio 25 bora duniani: Serengeti yaongoza, Mlima Kilimanjaro nafasi ya 12 na Mbuga ya Tarangire nafasi ya 14

Ndio yale yale, vivutio mnavyo bora kuzidi mataifa yote lakini nyie ni wale wale tu, umaskini unazidi kutamalaki na kushindwa kiuchumi na viinchi vidogo vidogo kama Kenya. Madini mnayo ya kumwaga, ardhi kubwa mara mbili ya Kenya....yaani kweli haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali.

Jiandae tu kwa maumivu zaidi. Maana yajayo yanafurahisha. Uko tayari?
 
Ingekua mara ya kwanza kwenu nyie kupata hizi tuzo labda ingekua dili, lakini kutajwa wenye vivutio bora, sio mara ya kwanza, ila kama nilivyosema, haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali....dayaspora wa Buza...aka ze ze ze
 
Hii inamaanisha advertisements more utalii
 
Ingekua mara ya kwanza kwenu nyie kupata hizi tuzo labda ingekua dili, lakini kutajwa wenye vivutio bora, sio mara ya kwanza, ila kama nilivyosema, haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali....dayaspora wa Buza...aka ze ze ze

Inglishi kibera boy. Hii huwezi kuielewa maana yake. Maana uwezo wako umeishia kuandika, kusoma na kuhesabu (kkk) kwa basic kiingereza. Unajaribu kujikweza kufikia level ya authors and referees of a number of articles in different journals. Ilhali wewe ni mchuuzi wa sundry items za nyumbani kama Colgate, foma, mbuni. Unawasingizia jamaa zako wa Yombo kuwa hawajui kuandaa taarifa wakati hata wewe hujui kuandika. Siku hizi umekuwa kiboga kila uchao unazidi kuharibika. Umezidi kujaza pumba kwenye JF yetu ambayo ni kisima cha elimu.
 
Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor.

Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani.

Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea kati ya hifadhi 25 zilizotajwa kwenye tuzo hizo Serengeti ikishika nafasi ya kwanza duniani Hifadhi ya Masai Mara ya nchini Kenya imeshika nafasi ya tatu huku mbuga ya wanyama Tarangire ikishika nafasi ya 14 na hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ikishika nafasi ya 12.

Waziri wa Mali Asili na utalii nchini Tanzania Dkt Damas Ndumbaro amesema tuzo hiyo ni yenye umuhimu mkubwa kwa Serengeti.

Serengeti pekee kwa mwaka hupokea wastani wa wageni laki tatu na nusu hadi laki tano ambao huja kushudia maajabu yaliyoko kwenye eneo hili ambalo ni urithi wa dunia ikiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 14750 kila mwaka hushuhudia mamilioni nyumbu ambao wanahama kutoka hifadhi Masai mara nchini Kenya ambayo nayo kwenye tuzo hizi imeshika nafasi ya tatu.

Utalii kama zilivyo sekta nyingine kote duniani umeathirika na uwepo wa maradhi ya Covid-19.

Bongo5
 
Inglishi kibera boy. Hii huwezi kuielewa maana yake. Maana uwezo wako umeishia kuandika, kusoma na kuhesabu (kkk) kwa basic kiingereza. Unajaribu kujikweza kufikia level ya authors and referees of a number of articles in different journals. Ilhali wewe ni mchuuzi wa sundry items za nyumbani kama Colgate, foma, mbuni. Unawasingizia jamaa zako wa Yombo kuwa hawajui kuandaa taarifa wakati hata wewe hujui kuandika. Siku hizi umekuwa kiboga kila uchao unazidi kuharibika. Umezidi kujaza pumba kwenye JF yetu ambayo ni kisima cha elimu.

Halafu kingine dayaspora wa Buza, kingereza huwa kinawanyima sana kwenye hili, mgeni anaingia anapokewa na mtu ambaye muda wote ni ze ze ze hajijui anasema nini....kuna sehemu nilisoma kwamba asilimia kubwa ya watalii wanaokuja Bongo hawarudi tena, subiri nifukue hizo takwimu, kwanza ni takwimu zenu wenyewe...
Vivutio mnakua navyo bora lakini havina umuhimu kama wenyewe ni wale wale...
 
Jinsi umri wako unavyosonga, ndivyo akili zako zinazidi kushuka.
 
Ndio yale yale, vivutio mnavyo bora kuzidi mataifa yote lakini nyie ni wale wale tu, umaskini unazidi kutamalaki na kushindwa kiuchumi na viinchi vidogo vidogo kama Kenya. Madini mnayo ya kumwaga, ardhi kubwa mara mbili ya Kenya, yaani kweli haupewi vyote, uchague moja kati ya ubongo na raslimali.
Kanye boga kama inakuuma
 
Jinsi umri wako unavyosonga, ndivyo akili zako zinazidi kushuka.

Hizi hapa taarifa kwamba zaidi ya asilimia 80% ya watalii huwa hawarudi Tanzania, hivyo vivutio mnavyo bora ila hakuna anayerudi tena kwa namna mlivyo watu wa ze ze ze
 
Tanzania tourism revenues $2.6B
Kenya $1.2B

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hizi hapa taarifa kwamba zaidi ya asilimia 80% ya watalii huwa hawarudi Tanzania, hivyo vivutio mnavyo bora ila hakuna anayerudi tena kwa namna mlivyo watu wa ze ze ze

Wee umejuaje wakati wizara husika wanajaribu ku find out why!!!?
 
Mtazunguka mbuyu ila ze ze ze ndio shida yenu na wengi wanalijua hilo ila kwa sababu imeshindikana kujiongeza, maana ile lugha inataka kauwezo fulani.....hehehehe
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom