Recent content by omutimbasafi

  1. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za Kahama kwenda Bukoba?

    Arusha express,the jungle.
  2. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Wenye connection biashara ya dhahabu wadau

    Kumbuka matapeli ni wengi Geita, usije ukaingiza miguu yote kwenye biashara hii, tafuta mtu muingie partnership.
  3. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

    Korona haijatokea kabla ya wazazi kulipa ada juzi tu,matapeli hii dunia hawataisha.
  4. omutimbasafi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze ni Vitu gani viwepo Geto vya kumdatisha Mdada ili arudi tena?

    Siku ukija kutoka kwenye mishe mishe zako ukakutana na kapeti tu ndani ndo akili itakuingia, demu aliwe na atembee na akitaka kuja aje kwa appointment na si vinginevyo.Be an alpha man.
  5. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

    K ZIPO ZAKUTOSHA ILA ZINAUZWA.NI PESA YAKO TU.
  6. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

    tulikuwa nae tunakula bia,ni mzaliwa wa huku na nimekula nae bia eneo moja linaitwa usbon club
  7. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

    juzi nilikuwa nae geita
  8. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Niliamini kwamba karatasi ya kupigia kura ni moja ya confidential documents

    Hata icho ulichokiona sio uchaguzi uliisha toka tarehe 14 Septemba.
  9. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu yetu Tundu Lissu, KUBALI matokeo na ujipange safari ijayo

    injinia soma hiyo.
  10. omutimbasafi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Amvunja miguu anaetembea na mke wake na mke akamuacha

    ndoa ndoa ndoa ndoa.
  11. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Biden atashinda, Trump is done

    Kumbuka kuna kura za walio wachache.
  12. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania GE2020 TV na Redio hazitangazi ujio wa Lissu, lakini mbona watu ni wengi?

    Wananchi wote ndo nini, unataka kumaanisha Wananchi wote wana vichinjio,yaani hata watoto nao wana vichinjio.
Back
Top Bottom