Recent content by Omukuru

  1. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Hii hapa sababu kwanini Lowassa hapelekwi mahakamani

    Wengi mmekurupuka na kushambulia pasipo adui. Hata mleta mada amekuja na msamihati wa LEGITIMANCY ambao labda kausoma kwa haraka (inaelekea ni mwanafunzi wa sheria, lakini mambo hayajakaa sawa). LEGITIMANCY lazima itofautishwe na LEGITIMACY. Ni msamihati mpya, uliundwa kukieleza kisheria kile...
  2. Omukuru

    JamiiForums Tanzania mkapa hakusema watanzania wapumbavu bali chama video

    Mleta mada amefanya jitihada zza kuuonesha umma UPUMBAVU wake. Huwezi ukatenganisha chama na watu. Upo uhuru wa kikatiba wa kufanya shughuli za kisiasa, kujiunga na kukiahama chama chochote. Kama katiba ya nchi inaruhusu kufanya hivyo, halafu mtu ambaye amewahi kuiongoza serikali na taifa chini...
  3. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Wakati wa CCM unakaribia

    Sasa kama muda bado mihemko ya nini? Si usubiri tu muda wa scene zenu ufike ndo uandike. Kiherehere.
  4. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Ina maana Magufuri ni fukara? Tukilinganisha vyanzo HALALI vya mapato ya viongozi na wagombea wa CCM na mali walizojilimbikizia mbona utapata kigugumizi? Halafu eti "kwa niaba ya Baba wa Taifa"... umemuona wapi? Kakutuma? Mwacheni apumzike kwa amani, msitumie jina lake visivyo.
  5. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Pale Addis Ababa, Kagame alitakiwa kusema hivi! Mu7 kaanza kurekebisha kauli

    Inawezekana kabisa kile alichokisema ndugu Kikwete kikawa na maana; na najitahidi kujaribu kuwaelewa wanaomtetea kwa jazba kwa sababu ametajwa Rais wao. Lakini pia najiuliza, kama kweli mazungumzo ndo suluhisho mbona Kikwete mwenyewe ametuma wanajeshi nchini Congo kupambana na M23? Si angewatuma...
  6. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Balaa: Mke wa Mtu Afumwa Akijiuza Usiku na Mtoto Mkononi

    Simtetei huyo mama kwa kosa alilolifanya, atalipia kosa lake kadiri ya taratibu za kisheria au za kijamii. Nisichokubaliana nacho ni udhalilishaji wa namna alivyomatwa, karibu kuchaniwa nguo, kupigwa picha na kusambazwa kwa picha zake. kuna watu ambao tayari maisha yamewadhalilisha...
  7. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Picha za uzinduzi safari za treni jijini Dar es Salaam, Dr. Mwakyembe afanya uzinduzi

    Ila hapo kwenye bilioni mbili tu za ukarabati kidogo pangehitaji maelezo ya kutosha.
  8. Omukuru

    JamiiForums Tanzania who is hotter?? nicki minaj vs beyonce

    where do I put my thermometer?
  9. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Who really owns a man his mothr or wife?

    I take it as joke.... but can we talk of OWNERSHIP when it comes to human beings?
  10. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Kuchapia

    Briskefu Brikfesi = Briefcase
  11. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Tafiti nyingine bhana ni utata mtupu!

    Category yangu ni semi-silent, inaita Yusufu kwa slow motion... "yuuusssuuuuuufffffffuuuuuuuuuuuuu". Mziki wake ni hapo baadaye hewani.
  12. Omukuru

    JamiiForums Tanzania majibu yenu yanaitajika hapa!!!

    Kwamba chura ni mamalia, ni elimu mpya, enzi zetu alikuwa amfibia.
  13. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Mbavu zangu jamani, teh,teh,teh....

    hii imenichekesha zaidi
  14. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Waonyeshe hicho kitambulisho

    Hajui habari za misitu, sio kazi yake.
  15. Omukuru

    JamiiForums Tanzania Kuchapia

    ... katika ajali hiyo mtu mjoja amefariki na wengine watatu kujeuriwa... kwa sasa majeuri wanaendelea vizuri na matibabu kwenye zanahati huko Bombolangoto jijini Dar es Salaam.
Back
Top Bottom