Waonyeshe hicho kitambulisho

Kauzu Kinyama

Member
Aug 13, 2011
41
5
Afisa mkaguzi wa misuti alizuiliwa kuingia kwenye msitu mmoja alioenda kukaguwa. Mlinzi akamwambia "time hizi haturuhusu watu kuingia msituni". Jama akamtolea kitambulisho na kumfokea "Wee, unanjua mie nani???". Mlinzi akamwambia "hewallah bwan mkubwa!" akampisha aingie. Afisa alipoingia mara akaanza kushambuliwa na nyuki, akaanza kupiga makelele kuomba msaada "Nisaidieee!! nakufaaa!!!". Mlinzi akamwambia

"Hayaa, bwan Mkubwa, waonyeshe hicho kitambulisho haoo!!"
 
Hajui habari za misitu, sio kazi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom