Kuchapia

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Haya ni baadhi tu,ongezea na yako kama uliwahi kuchapia au ulimsikia mtu anachapia!

Mme wangu tuchange hela tuweke umeme wa soya(umeme wa solar)
Wajue kabisa mi ndo niliyewahifadhia hizo pesa
Tevelision (television)
clouds eshem (clouds fm)
Ulimi hauna Mfupwa
Inabidi tumaintain conshifedality (confidentiality)
Alsho we have tu think about other ways (also)
Mandashi(maandazi)
Nipe namba yako nikudip sasa hivi
Aisee singa na yamba hawajui mpira
Chips kaki na mishikaki(chips kavu na mishikaki)
shika mashimo mbele kuna breki
 
Elfu mbali- elfu mbili
Twanga pepepa- twanga pepeta.
Bubujela-vuvuzela
Housing ya miwani- fremu ya miwani
Nachafi za kazi- nafasi za kazi
 
mwalimu mchaga na wanafunzi wapare nani zaidi?

Mwalimu: kilimo cha ndisi bukoba
wanafunzi: kilimo cha ndithi bukoba
 
hii ilitokea nikiwa sekondari mwalimu akiwa assemble akamuamuru mwanafunzi mmoja

toa mfuko mkononi akimaanisha toa mikono mfukoni!!
 
Elfu mbali- elfu mbili
Twanga pepepa- twanga pepeta.
Bubujela-vuvuzela
Housing ya miwani- fremu ya miwani
Nachafi za kazi- nafasi za kazi
Meneja mashoko-meneja masoko
 
... katika ajali hiyo mtu mjoja amefariki na wengine watatu kujeuriwa... kwa sasa majeuri wanaendelea vizuri na matibabu kwenye zanahati huko Bombolangoto jijini Dar es Salaam.
 
... katika ajali hiyo mtu mjoja amefariki na wengine watatu kujeuriwa... kwa sasa majeuri wanaendelea vizuri na matibabu kwenye zanahati huko Bombolangoto jijini Dar es Salaam.

Hii umetunga mkuu..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom