mkapa hakusema watanzania wapumbavu bali chama video

Barca

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1,629
Reaction score
1,956
Hizi picha za tangu 2005. Tunapotezeana wakati.
Hali haipo kama unavyojaribu kuaminisha watu.
Na mkapa hakusema watanzania ni wapumbavu
alisema chama kinachojifanya ni cha ukombozi
leo baada ya 50yrs of independence ni
wapumbavu na malofa. Shida wewe na UKAWA
wote mmeona hamna hoja za kuzungumza sasa
hivi baada ya kila vipaumbele kuguswa not Dr
magufuli mnaanza kutafuta huruma ya
watanzania na kuanza kutoa sababu za
kushindwa sasa. Poleni sana uchaguzi huu
mmeshapoteza ccm watashinda mchana kweupe
 
Mbona Sumaye yeye kamuelewa vizuri sana Mkapa na kishasema atamjibu. Kusema ukweli Mkapa aliwalenga viongozi wanaoenda kwa wananchi kuwaambia wanaenda kuikomboa nchi hii ni wapumbavu.

Pia ni malofa kwa kuwa hawana misimamo, walizunguka nchi yote wakiisema ccm, EL na wenzake ni mafisadi. Leo wamegeuka wanalamba matapishi yao, wanamsujudia na kumtukuza waliye mwita fisadi. Sasa watu wa aina hii utawaitaje? zaidi ya upumbavu na ulofa. Mkapa yuko sawa kabisa.

Lakini walaghai na matapeli wa kisiasa watataka kuitumia hii kauli kama mtaji wa kisiasa.

Uzuri waTz wa leo ni waelewa sana wakipata ufafanuzi watajua kumbe wapumbavu na malofa ni kina nani.

Tuambiane ukweli tu hata kama unauma kama waweza uza utu na msimamo wako wewe si lofa na mpumbavu kuna majina gani mbadala wa hayo kuelezea hii hali?
 
Wewe jamaa unashangaza sana.

Unadai kuwa Mkapa hakutamka kuwa wapinzani ni wapumbavu na malofa bali alitamka kuwa vyama vinavyounda Ukawa ndiyo wapumbavu?

Hivi naomba tu unifafanulie kidogo hivi vyama hivyo vya Chadema, CUF, NCCR Mageuzi na NLD vinavyounda Ukawa vina 'midomo' ya kusemea hadi vyenyewe ndiyo vitukanwe kuwa ndiyo wapumbavu?!

Wacheni kuweweseka nyiye magamba, subirini tu tarehe 25 Oktoba mwaka huu mtuone siye wapinzani ambao mmetuita wapumbavu wenu mshuhudie namna tunavyotumia 'vichinjio' vyetu nikiwa na maana ya vitambulisho vyetu vya kupigia kura 'kuwachinja' kupitia sanduku la kura ili iwe fundisho kwenu kwa siku zijazo muweze kuchunga kauli zenu.
 
Kwa kweli hili mnalo na litawasumbua sana hii ndio siasa. Nimegundua kumbe ukiwa mtu mkubwa hutakiwi kujibu kwa jaziba. Lazima litawagharimu tu.
 
Hizi picha za tangu 2005. Tunapotezeana wakati.
Hali haipo kama unavyojaribu kuaminisha watu.
Na mkapa hakusema watanzania ni wapumbavu
alisema chama kinachojifanya ni cha ukombozi
leo baada ya 50yrs of independence ni
wapumbavu na malofa. Shida wewe na UKAWA
wote mmeona hamna hoja za kuzungumza sasa
hivi baada ya kila vipaumbele kuguswa not Dr
magufuli mnaanza kutafuta huruma ya
watanzania na kuanza kutoa sababu za
kushindwa sasa. Poleni sana uchaguzi huu
mmeshapoteza ccm watashinda mchana kweupe
Tulia dawa ikuingie nyie mnatutukana malofa na wapumbavu kupitia luninga halafu unakuja kujitetea JF? Hahaha sisi tupo site tunawasha moto wewe jitete kwenye facebook
 
Hizi picha za tangu 2005. Tunapotezeana wakati.
Hali haipo kama unavyojaribu kuaminisha watu.
Na mkapa hakusema watanzania ni wapumbavu
alisema chama kinachojifanya ni cha ukombozi
leo baada ya 50yrs of independence ni
wapumbavu na malofa. Shida wewe na UKAWA
wote mmeona hamna hoja za kuzungumza sasa
hivi baada ya kila vipaumbele kuguswa not Dr
magufuli mnaanza kutafuta huruma ya
watanzania na kuanza kutoa sababu za
kushindwa sasa. Poleni sana uchaguzi huu
mmeshapoteza ccm watashinda mchana kweupe

..Mzee Mkapa hakupaswa kutumia maneno yale.

..yale siyo maneno mazuri na hayafai kuelekezwa kwa mtu yeyote yule.

..Mzee Mkapa alitakiwa kufanya kile alichotumwa kukifanya nacho ni kumnadi Dr.Magufuli.

..dharau na kiburi alichoonyesha Mzee Mkapa zimesababisha watu wamjadili yeye badala ya Dr.Magufuli.

..nadhani huko aliko Dr.Magufuli anajuta kumualika Mzee Mkapa kwenye mkutano wake[magufuli].

cc ZeMarcopolo, Mkandara, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Mbona Sumaye yeye kamuelewa vizuri sana Mkapa na kishasema atamjibu. Kusema ukweli Mkapa aliwalenga viongozi wanaoenda kwa wananchi kuwaambia wanaenda kuikomboa nchi hii ni wapumbavu.

Pia ni malofa kwa kuwa hawana misimamo, walizunguka nchi yote wakiisema ccm, EL na wenzake ni mafisadi. Leo wamegeuka wanalamba matapishi yao, wanamsujudia na kumtukuza waliye mwita fisadi. Sasa watu wa aina hii utawaitaje? zaidi ya upumbavu na ulofa. Mkapa yuko sawa kabisa.

Lakini walaghai na matapeli wa kisiasa watataka kuitumia hii kauli kama mtaji wa kisiasa.

Uzuri waTz wa leo ni waelewa sana wakipata ufafanuzi watajua kumbe wapumbavu na malofa ni kina nani.

Tuambiane ukweli tu hata kama unauma kama waweza uza utu na msimamo wako wewe si lofa na mpumbavu kuna majina gani mbadala wa hayo kuelezea hii hali?

Mwambie Chenkapa kama kweli ni mkatoriki akatubu, mtu mzima matusi ya nini?
Mbona Kang'ang'nia kiwanda cha Sukari Mtibwa halafu kakihonga kwa Mwarabu hatusemi?
 
Huna haya ya kuja kumsemea Mkapa na kuleta ufafanuzi usio na tija hapa. Hii habari imeshaongelewa na imeshaeleweka tokea majuzi. Hakuna mtoto mdogo hapa mwenye kuhitaji ufafanuzi wako. Kinacho ongelewa sasa hivi ni utendaji ili kuwafundisha adabu watu wenye kufikiria watanzania ni malofa.
 
Hizi picha za tangu 2005. Tunapotezeana wakati.
Hali haipo kama unavyojaribu kuaminisha watu.
Na mkapa hakusema watanzania ni wapumbavu
alisema chama kinachojifanya ni cha ukombozi
leo baada ya 50yrs of independence ni
wapumbavu na malofa. Shida wewe na UKAWA
wote mmeona hamna hoja za kuzungumza sasa
hivi baada ya kila vipaumbele kuguswa not Dr
magufuli mnaanza kutafuta huruma ya
watanzania na kuanza kutoa sababu za
kushindwa sasa. Poleni sana uchaguzi huu
mmeshapoteza ccm watashinda mchana kweupe

Wanao msingizia Rais Mkapa ni Makapi yenye masikio lakini bado ni viziwi.

Makapi yanafikiri kila mtu ni Lofa wa akili kama wao.
 
Watanzania wanataka ukombozi wa pili. Kuwatukana wananchi eti malofa wapumbavu hakusaidii kufuta ukweli huu-uchuu wa mabadiliko.
 
wewe kweli mjingaa haujui kuwa chama ni watu na hao watu ni Watanzania.Unajua walioko kwenye chama ni maroboti.

bila watu hakuna chama
 
Kuna watu wakishiba wanakaa midomo wazi, wanatoa sauti au milio ambayo hata baadae akiulizwa alimaanisha nini haelewi. Hebu atuambie Chama ni Nani. Ni kitu gani.kinaundwa na nini mpaka kikawa chama. Sasa hao wapumbavu ndiyo haohao mnawashawishi wawapigie kura. Au tayari mliishakuwa nazo. Maana mmeapa kushinda.
 
Hizi picha za tangu 2005. Tunapotezeana wakati.
Hali haipo kama unavyojaribu kuaminisha watu.
Na mkapa hakusema watanzania ni wapumbavu
alisema chama kinachojifanya ni cha ukombozi
leo baada ya 50yrs of independence ni
wapumbavu na malofa. Shida wewe na UKAWA
wote mmeona hamna hoja za kuzungumza sasa
hivi baada ya kila vipaumbele kuguswa not Dr
magufuli mnaanza kutafuta huruma ya
watanzania na kuanza kutoa sababu za
kushindwa sasa. Poleni sana uchaguzi huu
mmeshapoteza ccm watashinda mchana kweupe
Huyu lazima atakuwa mke wa Mkapa tu.
 
Mzee katengeneza njia kwa wapinzani na kumbebesha mzigo Dk JP Maguu Full
 
Mleta mada amefanya jitihada zza kuuonesha umma UPUMBAVU wake. Huwezi ukatenganisha chama na watu. Upo uhuru wa kikatiba wa kufanya shughuli za kisiasa, kujiunga na kukiahama chama chochote.
Kama katiba ya nchi inaruhusu kufanya hivyo, halafu mtu ambaye amewahi kuiongoza serikali na taifa chini ya katiba ileile anadiriki kuwaita wananchi wanaoutumia uhuru wao wa kukatiba na kisheria kufanya shughuli za kisiasa WAPUMBAVU na MALOFA, ni kiburi, dharau, chembe za udikteta na ndio upumbavu wenyewe.
 
Mtahangaika sana kumtetea lakini wananchi na mjadala mpana huku uraiani it is concluded kuwa mkapa kawatukana watu wasiopenda ccm kuwa wapumbavu, lakini pia hata baadhi ya wana ccm hawajafurahishwa na kauli ya mkapa kwani inawaharibia.
 
Back
Top Bottom