Recent content by Omseza Mkulu

  1. O

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Ishi....amasegnalew....
  2. O

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    ilikuwa mwaka 2004 natoka Mwanza na bus la Scandinavia kupanda ndege Jomokenyatta aiport kupitia London hadi Chicago(USA) na kurudi baada ya mwezi. Tiketi yangu iliandikwa kuondoka (Jumapili usiku saa sita na dak 5 usiku) . Nilopofika Jumapili saa 4 usiku uwanjani walipoingiza kwenye mashine...
  3. O

    Kiwanja Kinauzwa

    mbona kuna maelzo ya square meta 800 na 400 upi ukubwa sahihi wa eneo hili? tafadhali tujulishe na tutakupigia simu kwa utekelezaji
  4. O

    Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Huyu baba kheri ya kuendelea kumuomba Mungu ili 'tezi dume' limuongezee makali ya maumivu kama walivyo waathirika wengi wa kukoswa dawa kwenye zahanati nyingi nchini
  5. O

    Mwisho wa Chenge umefika rasmi

    Rosemarie. Chenge, alikwenda HARVARD kozi ya majira ya 'kiangazi'summer school si mtajwa katika orodha ya waliosoma kama ambayo waziri mkuu mstaafu Sumaye alikaa bweni ambalo hata leo lipo linaonekana.Kozi za Chenge ni za wiki fupi sana.
  6. O

    On Point: Bunge Lisiposimamiwa na Chombo Chochote Linakuwa La Kiimla

    Mzee Mwanakijiji na PASCO nyie kumbe mnatumika na haiba yenu imeonekana wazi..... si dhani kama mbeleni kutakuwa na joja toka kwako ikawa na mashiko...
  7. O

    Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Hee! huyu bwana kalipwa kiasi gani? ... jana alisema taarifa haitasomwa ikasomwa, miaka ya 2007/10 nikiwa huku nnje ya Tanzania nilizependa sana 'articles' zako, kumbe sikukuelewa ulivyo ....uhitaji ni tatizo na shida kubwa ktk utu wa mtu…..
  8. O

    Sakata la Escrow: Star TV wametumwa na nani?

    waache wafu wawa zike wafu wao.... hawa wanakodihswa na kulipwa..
  9. O

    Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

    Muhongo yego kutiki? Ulijua Ndg Mengi ni Mfanya Biashara na dalali wa kujitegemea…. Sasa wewe kwanini ndg yangu ulianza udalali wa serikali tena….? roho yako ilikushuhudia haya hapakuwa na sababu za kuwashambilia watu… …
  10. O

    Double Down: Bunge Likiendelea na Mjadala Majaji wa Mahakama Wote Wajiuzulu

    Mwanakijiji Muda mwingi nikiwa nje ya nchi nilizipenda sana mada zako tangu 2009. Zilikuwa za maan swala ‘lisiongelewe’, .Naungana na wengine hapo kukuomba ukae kimya.....maana Mahakama si kivuri cha kificha maovu, ukizingatia kuwa miongoni mwao kuna watuhumiwa pia...tafadhali endelea kutulia...
  11. O

    Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

    Askofu ni vyema ukajitokeza......... kama ulijua au hukufahamu usema maana jina la Bwana linatukanwa bure....pia imani kwa kondoo itapungua kwako.....
  12. O

    Msiba siku ya Ndoa

    hii mada ikusiadii kukujenga wala kukufariji ktk jambo la ndoa/harusi...
  13. O

    Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

    Ndg yetu si uende hospitali ukapimwe maana hayo ......ya kijani hatuwezi kuelewa bila vipimo.pole sana
  14. O

    Msaada kwa anaye fahamu namba ya simu ya Mkurugenzi wa PPF

    Namba ya kiongozi mkuu ambaye hakai na mafaili haitakusaidia. Ila ushauri uliotolewa hapo juu unafaa sana.
Back
Top Bottom