Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Mikosi tu hiyo
sijui wanafanyaje ila najua tu wakishafunga ndoa anakufa hapo hapo
Basi fanya juu chini tupate muda wa faragha wa kutafakari neno hili.......
Na wote tuseme Amina. ......
ndugu nielimishe plz ..
Ni mambo ya kawaida tu;
Huwezi kumzuia Mungu kufanya chochote wakati wowote;
Kwetu hatuna mila, usiogope.
Habhari zenyu binafsi wana wa kiume na kike jukwaa hapa?
Najua kuna baadhi ya watu hii hali imewahi kuwatokea ama wameshuhudia.
Ifikapo siku ya harusi ama kukaribia siku ya harusi kunatokea msiba aidha upande wa bwana harusi mtarajiwa au bibi harusi mtarajiwa. Anaweza akafariki mhusika mwenyewe au ndugu wa karibu wa wahusika hao.
Hali hii imekuwa ikitafsiriwa na baadhi ya makabila kwa tafsiri mbalimbali.
Naomba wanazuoni watupe ufafanuzi je hii hali uhusiana na nini!? Pia kuna baadhi ya makabila hufanya matambiko kuzuia hii hali ya msiba kipindi cha harusi....
Karibuni kwa mjadala...
Unauhusiano na bibiharusi alyefariki ambaye ndoa yake ilikuwa iwe jumamosi?
Mi nimeona anafunga ndoa anakufa akiwa chumbani kwake
Hiyo like yangu niya signature yako@Fixed Point nimeipenda sana.!!!!yaani kama mimi ndo kwanza nasikia leo kuwa hiyo hali inaweza ikaashiria kitu......
aiseeeeeee ni kweliNi mambo ya kawaida. Hakuna anayechagua siku ya kufa. Unaweza kufa hata ukiwa kanisani, katikati ya misa. Au msikitini ukiwa kwenye ibadai. Kwa kifupi, maiti hachagui siku ya kufa. Ikifika muda wa kuondoka duniani, ni lazima utaondoka tu!!