Sakata la Escrow: Star TV wametumwa na nani?

Sakata la Escrow: Star TV wametumwa na nani?

kwani haujui dialo ni team pinda ???? kwahiyo wameagizwa na bosi wao wamtetee pinda kwa namna yoyote.... yaaani huyu jamaa aliyevaa shati jekundu anaongea utumbo uliopitiliza alafu mweupe mnooo kichwani

Jamaa anamiliki mgahawa karibu na Mwanza hotel, unaitwa Pizzeria!
 
Mtoa mada hajatukana kwenye thread yake,kwa hivyo pia matusi hayatusaidii,lakini mawazo tofauti hayakwepeki kwa ulimwengu wa leo japo ukweli juu ya Escrow si wa kuhusianisha Filikunjombe kuwa bestman harusi ya Kafulila,ni hisia za kizamani kwani hayakuwa mawazo ya Filikunjombe na ZZK,bali uchambuzi toka riport ya CAG,PCCB,na hata TRA.
 
Jamaa anamiliki mgahawa karibu na Mwanza hotel, unaitwa Pizzeria!

ndo mmiliki wa Pizzeria huyu??? kilikua ni kijiwe changu cha matunda kila napoingia mwanza, SASA SIENDI TENA katika mgahawa huu, bora nikapambane na bei za GOLDEN CREST
 
kwani haujui dialo ni team pinda ???? kwahiyo wameagizwa na bosi wao wamtetee pinda kwa namna yoyote.... yaaani huyu jamaa aliyevaa shati jekundu anaongea utumbo uliopitiliza alafu mweupe mnooo kichwani

Yaani Nimefungua star Yan jamaa inaonyesha hana alijualo kuhusu hili swala yaan nimemzarau kweli
 
Wanadeki bahari hao, hovyo kabisa kwa hii ripoti wote waliohusika hawasafishiki, Dialo fisadi alikuwa anamchafua Lowasa ili aimarishe kambi ya pinda sasa kaumbuka anatapatapa mwisho wa ubaya ni aibu, atatumika sana nae fisadi tu. Eti ndio mwenyekiti ccm mkoa shame star tv. star kwa mafisadi na wapambe wao.
 
kwani mtu kufafanua ukweli ndo uhalisia? Walichokifanya akina Zitto ni upuuzi na wametumika kuwachafua wenzao
 
Toka jana nimemsikia Dotto Bulendo aisee nimemdharau sana alipokuwa akihojiwa na DW, anaongea mav.i mabichi kabisa

Huyu bwana uliyemtaja ni BORING na mnafiki sana hasa katika kipindi chake cha jumamosi asubuhi
 
Toka jana nimemsikia Dotto Bulendo aisee nimemdharau sana alipokuwa akihojiwa na DW, anaongea mav.i mabichi kabisa

100% Doto ni takataka tulishacomment long time kuwa kafika star tv through mafisadi ni hovyooo hoja za kuforce force na akiona mtu ni kichwa anamkatiza kuongea
 
kuna mjadala star TV muda huu, wanajaribu kupotosha kuwa report ya ESCRAW imepotoshwa na PAC, na haikuzingatia haki??kuna jamaa sijui wamemtoa wapi anaishambulia PAC na kuwatetea Maswi na MUhongo

Kwani aliyechunguza ni PAC au CAG? STAR TV achene kutumika

SHAME

Wao report yao iko wapi?
 
Hehehehe kumbe mumerudi kuangalia TBC1, si muliiwacha nyinyi.

Marudio itv walianza na tbc ghafla wakaunganisha star tv kumbe walitaka kutuonyesha unafiki wa star tv ambapo walififisha sauti kwa maksudi
 
kwani haujui dialo ni team pinda ???? kwahiyo wameagizwa na bosi wao wamtetee pinda kwa namna yoyote.... yaaani huyu jamaa aliyevaa shati jekundu anaongea utumbo uliopitiliza alafu mweupe mnooo kichwani
Mmoja wa wachambuzi wa Mwanza anaitwa Bituro Kazeri. Ana mgahawa Mwanza unaitwa Pizzeria na ndo kijiwe cha CCM. Amewahi kugombea jimbo la Mwibara mkoani Mara kwa tiketi ya CCM mara mbili akabwagwa. Alikuwa mfanyakazi wa NBC, yeye na mkewe na wote walitoka kwa kuiba pesa ya NBC. Pesa iliyobakia wakafungua mgahawa huo na hata akiwa mgahawani pale yeye ni kushambulia wapinzani na kuisifia CCM tangu asubuhi hadi jioni. Ni msomi wa wastani maana hivi majuzi alitunukiwa Masters katika Sosholojia huko SAUT. Kwa hiyo hatushangai sisi wakazi wa hapa Mwanza kusikia asubuhi hii, tena hata hajasoma ripoti yenyewe, anatetea wezi maana na yeye ni mwizi. Yeye anawang'ang'ania PAC wa nini wakati PAC imetumia ripoti ya CAG na PCCB? Huku ni kujidhalilisha. Huyu ni sampuli ile ile ya Dr Bana, huwezi kutenganisha ni wakati gani anafanya uchambuzi wa kisomi au wa kikada.
 
Siku hizi uwongo umekaribia kufika mwisho.at wanawake cku.hizi kuwadanganya inabidi ujipange. Sana itakuwa waka wadanganye watoto wao hapa watanzania tuliyo wengi tupo tiari kw lolote tumechoka kufanywa wajinga
 
kuna mjadala star TV muda huu, wanajaribu kupotosha kuwa report ya ESCRAW imepotoshwa na PAC, na haikuzingatia haki??kuna jamaa sijui wamemtoa wapi anaishambulia PAC na kuwatetea Maswi na MUhongo

Kwani aliyechunguza ni PAC au CAG? STAR TV achene kutumika

SHAME


STAR TV ndio TV nyepesi kununuliwa hapa nchini yani inaendeshwa kama ukumbi wa arusi anaeukodi ndio anakuwa mmiliki mpaka arusi itakapoisha wanakera kweli hawa
 
Back
Top Bottom