Recent content by omereyo

  1. omereyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume alie na nia ya dhati

    Inbox me pls.inaweza ukawa bahati yangu.
  2. omereyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa warembo mjifunze aina ya wanaume kabla ya kuanza kulalamika

    Napita tuu
  3. omereyo

    JamiiForums Tanzania Professional change

    Hello, I want to change my profession either partially or completely.for now i am clinical oriented.graduate holder of BSc Am fast learner,eager to learn new things(technical or scientific). Anyone who has idea,or vacant position.you are welcome
  4. omereyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

    Wengine tunaangalia huyo mtarajiwa anashaurika,anabebeka,anaweza kubadili asili ya tabia fulanifulani,kichwani ana busara ,anatazama future itakuwaje. Sasa basi wadada hudhani tunaangalia uzuri,kope bandia,na vivutio vya mwili.hiyo ni kuwaweka mitegoni wanaume mwishoe mimba ndii....siku tatu...
  5. omereyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoingia kwenye ndoa chunga sana hii!!!

    Daah aisee wadada zetu wengine wamekubuhu.unakuta mdada ana mabwana hawajuani.mmoja mkoa mwingine anapoishi.sasa basi mmojawapo anaingia kwenye kingi (anampa ujauzito)lakini anakuwa hapendwi kwakuwa haelewekieleweki. Sasa lile jamaa linaloonyesha walau linaeleweka kwa macho ya nyama ya huyo...
  6. omereyo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo.

    Nahitaji mkopo wa riba nafuu.tunaandikishiana kila mwezi nakulipa.mkopo+riba igawanywe kwa mwaka mmoja.nina kibarua changu hapa dar.kwa utashi zaidi karibu inbox
  7. omereyo

    JamiiForums Tanzania Mwonekano upi wa jinsia ya kiume ni ushoga

    Hivi nina swali,wanaume ambao ni 'wazuri', kwanini huhisiwa ni mashoga? Je,hakuna wanaume 'sura mbovu' wanaofanya hayo mambo? Kwanini wanawake hawahisiwi vitu hivyo? Aisee Tanzania ya sasa yenye vitoto vinavyowekwa insta toka vidogo tuviombee tu mmmmh.
  8. omereyo

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hivi hizo channel za bure ni kiini macho au ?mbona bado tunalipia
  9. omereyo

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom na mitandao mingine embu boresheni mifumo yenu haswa pale mtu anapotuma hela kimakosa mtandao mwingine.masaa 72 kusubiria hela irudi ilipotoka ni inshu.halafu sasa hela kule ilipoenda kimakosa kama imeshatolewa rudisheni basi majibu hata kwa sms. Nilituma hela kimakosa kwenda voda...
  10. omereyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke jeuri ni kipigo tu hakuna namna

    labda kwenu pwani
  11. omereyo

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa maarufu

    muharibie mange kimambi
  12. omereyo

    JamiiForums Tanzania Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    hayanihusu
  13. omereyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiruhusu kuumia kupita kiasi kwaajili ya mapenzi

    dah,ni kweli?waweza penda mtu kumbe interests zenu zipo tofauti.hapo ndipo wahenga wanasema moyo wa mpenzi wako kichaka.ukiweza kuusoma kwa ndani taratiibu unaanza kuuachilia.ila ukishindwa yatakayokukuta asikwambie mtu
  14. omereyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ishara zipi zinamaanisha matamanio kimapenzi?

    1)Unakutana na mtu anakukonyeza alafu anajifanya mdudu kaingia machoni. 2)Staili mpya ya midume na mijike kutoa ulimi kwa kuuroll. 3)Kuuma mdomo kistaili flani hivi. Endeleeni kuongeza nyingine.
Back
Top Bottom