Kwa mwanaume alie na nia ya dhati

mbambaishaj.tu alafu smtyms hii tabia imezidi.na mnatuona wanaume humu maboya.eeeh.
Huyu manzi kiufupi niliyajenga nae pm na mimi nikawa mtu wa karibu na yeye kwa umbali.wa kijiografia lakini huezi amini ,mwanamke huyu kipindi ambacho.anatafuta bwana humu kulikua na haya yanayoendelea .
Kwanza si muwazi kabisa na kuna uwezekano mkubwa mpaka siku aliopost uzi huu alikua na bwana permanent kabisa ila ni ujanja ujanja wake kutaka kupiga watu pesa.
Nayasema haya kwa kua tulichat vizuri sana pm ila tulipopeana mawasiliano akawa mzito sana wa kupokea simu na kujibu text ,siku ya chrismas alikwenda kwa bibi ake kama maelezo yake alivyonipa but boxing day napiga simu anapokea mwanaume alafu badae eti oooh nilikua kwa family meeting na aliyepokea ni ndugu wa kiume.
Mpaka nacomeent hapa ni kua status ya mwanamke huyu wasap ilikua inaonyesha kua anavikwa pete ya ndoa na kanisani tena mbele ya watu watu sasa swali langu hapo huyu bwana aliyempa alikua wa mwendo kasi kiasi gani hadi kufikia kufanya maamuzi yote na.taratibu zote za ndoa ndani ya siku 20tu ?unaboa sana faraja badilikeni wewe na wengine wenye tabia kama zako ndio.mnaokuja.chafua sifa ya watu ambao kweli wanauhitaji wa wenza wa kuishi nao
pole mkuu

Huyu faraja Mungu anamuona, amekufanya hadi uchanganye mafaili
 
Morning!

Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani kabisa maisha ya u single.

Sina uhakika kama huku naweza pata mwanaume atakae nielewa na kuthamini thamani ya upendo nitakaompa ila yote kwa Mungu yanawezekana

Nahitaji mwanaume alie na utayari wa kujenga familia na anae jua thamani ya mwanamke

Mimi ni mkristo ningependa pia mwenzangu awe mkristo

Sio tegemezi na sihitaji alie tegemezi

Umri kuanzia 29+

Sina mtoto na kama mwanaume atakua na mtoto asizidi mmoja

Asubuhi njema!
Inbox me pls.inaweza ukawa bahati yangu.
 
Umejibu hoja za Mdau?
 
Umri jaman,cjui lini nitabahatika maana n htr
 
MKUU,

NI-PM FASTA,

WATU TUPO SIRIYAZI SANA MWAKA HUU!!!
 
Nakuombea upate hitaji lako,

Cha kukuongezea fikiria zaidi mume wa maisha yako na si wamaonyesho utakuwa na ndoa ya furaha.
 
Back
Top Bottom