Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Habari zenu startimes mimi nina tatzo,
Ninà miezi mitàtu sijalipia kifurushi changu lakini cha ajabu channel tena zoteee zilizopo kwenye decoder zinashika tatzo lawezà kuwa nini?? Maana sitaki kuhujumu uchumi wa startimes.
 
Habari zenu startimes mimi nina tatzo,
Ninà miezi mitàtu sijalipia kifurushi changu lakini cha ajabu channel tena zoteee zilizopo kwenye decoder zinashika tatzo lawezà kuwa nini?? Maana sitaki kuhujumu uchumi wa startimes.
Upo wapi weka na mawasiliano yako mafundi wetu watakuja kesho saa 12 alfajiri ili kufix hilo tatizo
 
Hawa Startimes hawafai kwa kila kitu mi nimelitoa dish lao.
Naombeni ushauri, mke wangu alienda kwao kujifungua ila saiv ni mwezi wa tatu tokea ajifungue nahadi saivi hajarudi kwangu na ninahisi wazaz wake ndio wanamkataza asirudi, je nifanyeje?
 
Startimes niliiamini Sana lakini you are very hopeless, hata channel ya africa Magic inaiongezea bei achilia mbali kunyima watu kutazama mechi za uingereza.muda utasema na mtawatafutA wateja mpaka vijijini, watazameni Hallotel baada ya kuungwa mkono na wa tz wakaanza wizi na kupandisha gharama kinyemelA.

Mwakani mwezi huu watakuws hoi
 
Hii promotion ya lipia kifurushi mwezi mmoja upate kifurushi cha juu bure is a farse!
 
Nyie startimes customer càre yenu ni ya kipumbavu sanaa na hamko serious kabisaaaa,wateja wenu watawakimbia hivi karibuni na nitahakikisha magufuri anawapiga chini hamfai kabisaaaaa ninyi na hao wachina wenu wajinga.
 
Wanasema kaka unataka kupata local channels,unapeleka kadi ya king'amuzi cha sasa kwny shop zao ukiwa na sh 24,000. Wanakubadilishia kadi na kukuoa nyingine ambayo sasa,kama hela inakata,ndo unapata zile za bure.
 
Back
Top Bottom