Recent content by OmaryBabu

  1. O

    Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

    umeponda weee mwisho ukamalizia na promo ya going to bongo
  2. O

    Wanawake wanaopenda wanaume wenye pesa hawalijui hili.

    Tena toka mbio kama umekanyaga moto
  3. O

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Hakika ndani ya nchi watutsi wengi!!! Tukisoma Tunapata jibu kama UPAYUKAJI WA FIDO DIDO
  4. O

    Dalili kuu ya mwanaume shoga!

    Nasikia na anaejamba nae yumo
  5. O

    Tanzania would rather be in Southern Africa, it seems

    its better to be there eac is no longer profitable to us
  6. O

    Mgao wa umeme waanza rasmi Bukoba

    Hakika shukrani ya punda ni mateke,M7 Amesahau msaada aliopewa,NA BABA ZETU,MASHUJAA WETU WALIOKUFA KWA AJILI YA KUMSAIDIA MUHESHIMIWA M7 sasa amesahau yote ndugu zangu,ACHA KULIA,IPO SIKU MUNGU ATAKUWA NASI,NB kukiwa giza ni heri zaidi kwa usalama,UNAJUA KAGAME AMEKASIRIKA SANA, sababu kubwa ni...
  7. O

    Kagame abuni mkakati kurejea DRC kuwasaidia M23

    KAGAME yupo DRC sio leo wala jana anakuwepo kwa NDUGU ZETU kwa lengo maalum la kuiba RASILIMALI ZA DRC madini hata maendeleo ya RWANDA yanasababishwa na wizi huo.Na KAGAME lazima awe mkali kanyang'anywa tonge mdomoni ,MUNGU bariki ndugu zetu za DRC waishi kwa AMANI NB RWANDA HAINA RASILIMALI...
  8. O

    Ujio wa Rais wa China, Xi Jinping nchini Tanzania - Machi 2013

    Hakika Watanzania wengi tuelewa kidogo MASHARTI ya ujenzi huo wa kiwanja cha ndege bagamoyo ni yapi?Hakuna cha bure. Tujue kuna faida au hasara.Na ni kwanini hatuelezwi wazi Wananchi?Kabla ya msaada ,Tuangalie masharti ,!! Isije ikawa unaambiwa usinunue nguo sehem yoyote zaidi ya china na nguo...
  9. O

    Kawambwa anaonewa

    Ili tuendelee tunahitaji,Kiongozi bora,Hii maana matatizo yote ya walimu,shule,wanafunzi,Alikuwa hafaham?Na kama anafaham alichukua hatua gani?Na matatizo yote wanaolalamika,Walimu,Shule yameamuliwa vipi?Ni kwanini wananchi watake andama kuna tatizo gani""MPAKA SASA MUHESHI WAZIRI AMECHUKUA...
  10. O

    Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    Nchi yetu,Taifa letu,Hali ndivyo ilivyo kila kitu wizi mtupu.Watanzania hamkeni,tafakari,fikiria,Kaa chonjo saa mbaya,Usimwamini yoyote. POLISI YETU IPO WAPI? Aj
Back
Top Bottom