Mgao wa umeme waanza rasmi Bukoba

Mgao wa umeme waanza rasmi Bukoba

mmewajaza wanyarwanda na waganda pale mtukula kama Tanzania kuna vita, mlitegemea kuwa mtaendelea kupata umeme kutoka kwa watu mliowafukuza...Subiri umeme wa Muhongo 2015.
 
kuna baadhi ya maoni ya watu yanaonyesha uvivu wa kufikiri au ukosefu wa uzalendo

jukumu la serikali yeyote ni kutunza amani na usalama wa wananchi wake pamoja na kuwaletea maendeleo

hapa shinikizo lingekua ni kuhakikisha serikali ya JMT inapeleka umeme mkoa wa kagera kwa vyanzo vya Tanzania na si vya nje .... shida wananchi wanajisahau na kulishwa propaganda za kijinga saa ingine...inaudhi sana. Miaka 50 ya uhuru bado tunalilia umeme wa nchi jirani wakati malagarasi river na vyanzo vingine maeneo hayo ingeweza kusaidia kabisa kutengeneza umeme wa kutosha wakati juhudi zikifanyika kuhakikisha bomba la gesi linajengwa kupelekwa mwanza kwa ajili ya power plant nyingine kubwa maeneo hayo
 
Tunapo sema Raisi wetu alitukanwa na kejeli na vyombo vya habari vya Rwanda, je sisi hatuwatukani na kuwakejeri PK, M7 na UK?, kama ni ujambazi majambazi wako BK haijawahi kutekwa gari linalo ingia BK bari linalotoka hivyo michogo yote hufanyika BK.
 
Kama ni ujambazi mbona Dar, Arusha, Mwanza, Moro, Singida na NK. kilasiku wanateka na wanauwana, nao ni wahamiaji haramu? nchi ya diri hii chezea TZ wewe? kama mpaka IGP kaibiwa upanga wa dhahabu unategemea nini? eti tuna upendo na uzarendo ukowapi?
 
Kama ni ujambazi mbona Dar, Arusha, Mwanza, Moro, Singida na NK. kilasiku wanateka na wanauwana, nao ni wahamiaji haramu? nchi ya diri hii chezea TZ wewe? kama mpaka IGP kaibiwa upanga wa dhahabu unategemea nini? eti tuna upendo na uzarendo ukowapi?

Nchi ya kishenzi....sio ya deal au diri...
 
Hakika shukrani ya punda ni mateke,M7 Amesahau msaada aliopewa,NA BABA ZETU,MASHUJAA WETU WALIOKUFA KWA AJILI YA KUMSAIDIA MUHESHIMIWA M7 sasa amesahau yote ndugu zangu,ACHA KULIA,IPO SIKU MUNGU ATAKUWA NASI,NB kukiwa giza ni heri zaidi kwa usalama,UNAJUA KAGAME AMEKASIRIKA SANA, sababu kubwa ni rasilimali za DRC,TUNAMWAMBIA Gen KAGAME We ruka ruka lakini KULA KWENU RWANDA,TUTAISAIDIA NDUGU ZETU ZA DRC na MUNGU ANAPENDA WAPENDA AMANI,NA SISI WATZ NI WAKOMBOZI
 
Back
Top Bottom