Tushachoka kauli zenu bwana. In fact yeye ndo Rais, anaweza fanya chochote. Akiamu anaweza kuwapa wizara, akiamua anaweza asiwape. Mwacheni Rais apige kazi na cabinet yake. Wanaofaa ni wengi. Hawawez wote kuingia kwenye cabinet
Habari zenu wadau?
Nimeona nije na kauzi haka ili niweze kupambanua uelewa.
Ninachokijua na ambacho kinaandikwa kwenye machapisho mbalimbali ni kwamba Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Sasa ukisema zaidi ya, huwa haioneshi idadi halisi ya makabila hayo.
Naomba mwenye uelewa atujuze idadi...
Future prospect
1. Does it mean 'expected benefit'?
2. Does it mean 'possible independent current factors' for the future development of something?
Sent using Jamii Forums mobile app
MSAADA TUTANI
Hello folk!
I'm humble, asking for your legal help!
I may be ignorant of the right path of legal procedure in handling this case!
Mr X come to my shop one day and he asked for some goods for loan! Since he has been indebted to pay back the loan, the man changed his SIM line and...
Habari wana jukwaa?
Tafadhali, kama uzi unavyojieleza, naomba msaada mwenye syllabus ya kozi zifuatazo zinazotolewa na vyuo vya VETA hapa nchini.
1. English language
2. ICT
3. Enterpreneurship
4. Life skillls
PM itapendeza zaidi
Ahsante
Naamanisha kwamba kuna njia mbalimbali zinazitumika mashuleni hata kitaifa kupanga matokeo baada ya kuwatahini wanafunzi. Njia hii hufanyika kwa kutumia program ya spreadsheet hususani Excel.
Sasa shida yangu nipate muongozo wa upangaji (template) ili nitumie nami kupanga matokeo hayo.
ID na uhalisia wa mtu mwenyewe ni vitu viwili tofauti kabisa. By the way some things vinahitaji ujuzi kama huelewi its better ukatulia kupisha wajuzi waje wajibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.