Msaada wa Kitaaluma Unahitajika

Omari Issa

Senior Member
Jul 26, 2012
168
45
Habari zenu wanajamvi!
Tafadhali naomba mwenye TEMPLATE za kupanga matokeo kwa divisions, FORM TWO, FORM FOUR na FORM SIX anipatie please!
Thanks!
 
UNA MAANISHA NINI?
Naamanisha kwamba kuna njia mbalimbali zinazitumika mashuleni hata kitaifa kupanga matokeo baada ya kuwatahini wanafunzi. Njia hii hufanyika kwa kutumia program ya spreadsheet hususani Excel.
Sasa shida yangu nipate muongozo wa upangaji (template) ili nitumie nami kupanga matokeo hayo.
 
Back
Top Bottom