Recent content by Omareal

  1. Omareal

    JamiiForums Tanzania Naanza kuwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu

    nilimezeshwa2 na watangulizi wangu Namaanisha WAZAZI ila kwa sas Nina akili timamu ya kuchambua mambo
  2. Omareal

    JamiiForums Tanzania Naanza kuwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu

    yaan hii Mada imekuja wakati muafaka Sana nmewaza hii mada takribani mwaka sasa ckuizi siamini kabs uwepo wa mungu
  3. Omareal

    JamiiForums Tanzania Bongo Fleva safari bado ndefu kuthaminiwa Miaka 60 ya Uhuru

    kwann waliwaita uwanjani wakaondolewa bila kuperform sasa kama hawakutakiwa kuwepo kwenye shuhuli
  4. Omareal

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa ubinafsi na uoga wa viongozi Mkulima huyu Eldoforce Bilohe angechukua fomu ya Urais 2020

    Kweli me bado siijui siasa maana hata baadhi ya wanasiasa siwafahamu
  5. Omareal

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Grammy: Burna Boy na Wizkid washinda tuzo za Grammy

    Me ninavojua Kuna tofauti Kati ya collaboration na featuring kwenye wimbo wa Beyonce brown skin girl pale wizkid ameshirikishwa2 na mmiliki halali wa ule wimbo ni Beyonce ni tofauti na collaboration ambapo wasanii wanaingia studio kufanya ngoma ya pamoja so kwa mantiki hyo ni dhahiri kuwa wizkid...
  6. Omareal

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote, Elimu yangu kidato cha nne

    Mkuu hata sisi wengine tunaweza kukutafta
  7. Omareal

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Fireboy na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika?

    OMG! Huyu mtu wa kuitwa fireboy ni wa sayari nyingine kwakwel kuanzia melody, lyrics mpaka jinsi anavoflow huwezi kumfananisha na upcoming wengine hapa Africa japo joeboy pia cyo mbaya kivile ila kwenye swala la nani zaidi nampa fireboy ni motoooo🔥🔥🔥
  8. Omareal

    JamiiForums Tanzania TANZIA Larry King, Mtangazaji nguli kwa zaidi ya miaka 50 afariki dunia

    After describing himself as a Jewish agnostic in 2005 King stated that he was fully atheist in 2015. In December 2011, King stated that he would like to be cryogenically preserved following his death. "tusubiri tuone atazikwaje maana alishatoa tamko"
  9. Omareal

    JamiiForums Tanzania Msanii bora Bongo flava 2018

    Harmonize ni the best East Africa kiujumla
  10. Omareal

    JamiiForums Tanzania Natafuta hii movie MAYBE ANOTHER TIME 2013

    Tusaidiane njia ya kuipata jaman n Mda mrefu naitafuta hii muvi siipati full
  11. Omareal

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Uingereza kuanza kuunga mkono Ushoga tarehe 30 Novemba

    Nimeona big 6 zote ila Manchester city sijaiona why au yule mmiliki wake kakataa
  12. Omareal

    JamiiForums Tanzania Hello Me Mgeni humu

    dah! Wa kimawazo mkuu
  13. Omareal

    JamiiForums Tanzania Hello Me Mgeni humu

    nahitaji ushirikiano kutoka kwenu please!
  14. Omareal

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe tuzo za TMA 2010 kabla timu hazijawa timu

    Haya mambo ya kubebana yalianza kitambo sanaa kipindi hiko masogange ilikua hot sana
Back
Top Bottom