TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
R.I.P Rarry King, nitakukumbuka kipindi hicho nakuona kwenye TV ya black and white colour yenye gamba la mbao wakati huo kwenye mahojiano yako nikiambulia kujua "yes, no, na okay"tu!!( twatoka mbali jamani)
Rarry alikuwa mstaarabu sana ....hakuwa kama wale "tangazaji ugwadu", Annapour na Wolf!!
Rarry alikuwa mstaarabu sana ....hakuwa kama wale "tangazaji ugwadu", Annapour na Wolf!!