Bad Man Tivu
JF-Expert Member
- Jan 16, 2019
- 388
- 421
Hatimaye!
Yes, alianza burna wakati anatoa album yake ya African Giant.Alianza Burna kuperform kwenye SNL ( Saturday Night Live) hapo ndo nikaanza kukubali kuwa tumepigwa gap kubwa tayari.
Tunahitaji kizazi kingine waje na muziki utakaokuwa na authority.
Youtube views ni takataka tu. Marekani kuna raia wanaimba balaa.Halafu kuna watu wanabaki kutambia views za you tube. Wanabweka hao badala wakawekeze kudaka Grammy
hii nilifikiri ni mimi peke yangu .....huwa najiuliza tatizo ni uwekezaji au nini zaidi?Hapo kwenye ubora wa utayarishaji na tungo inabidi wasanii wetu na watayarishaji wao wajifunze kitu. Sound ya Naija iko na viwango vya juu sana ukikinganisha na sound yetu, acha washinde tu.
kweli kabisaKiba anazo za FIFA kabisa. Sema ndio hivo. Hapendi media.
,mkuu utanivunja mbavu bureKiba anazo za FIFA kabisa. Sema ndio hivo. Hapendi media.
Burna ana miaka 29 aiseee 🤣Burna Boy, mwenye miaka 29, amewashinda wengine wanne ikiwemo bendi ya Malian, Tinariwen.
Naum
Nigerians kwenye production wako vizuri. Hata baadhi ngoma za kibongo zilizofanyiwa production huko ziko vizuri.Hapo kwenye ubora wa utayarishaji na tungo inabidi wasanii wetu na watayarishaji wao wajifunze kitu. Sound ya Naija iko na viwango vya juu sana ukikinganisha na sound yetu, acha washinde tu.
Kama nimekuelewa hiviniwaambie tu muelewe nyinyi wenye kazi ya kuponda wasanii wa bongo. hata nyinyi tukiwaweka kwenye nyanja zenu hamuwezi kucompete na wapopo, wakenya tu wanawakimbiza.
tabia zenu za kusubiri kuponda ila mtu anapofanya vizuri hamtaki kuappreciate ni za kichawi sana.
wanaija now ndio wameushika mziki wa africa sio kwa sababu wao wanaimba sana no, ni sababu opportunity zote kubwa wamekamata njia zake.
kuanzia mtv, recording labels kubwa na publishing companies unakuta top management upande wa Africa wamekaa wanaija sasa unafikiri wataacha kusaidiana.
ebu nyie mnaoponda mkajaribu hata kupata nafasi za decision making kwenye corporate companies kwenye international levels ndio mje kuponda.
mtu kama diamond aliwashawishi sana trace waingizie mziki wa eastafrica kwenye playlist lakini alishindwa walichomsaidia ni kutuletea trace mziiki.
hakuna mnachojua kuhusu muziki wa Africa endeleeni kuponda. okay mbasema kuhusu bongo what about mtu kama fally ipupa? kati ya falii na burnaboy nani mkubwa africa? na utakaa uone fally akipata mashavu jiylize why
Wameamua na wao waanzishe tuzo za Grammy za kibongo halafu watakua wanajipa wao hizo tuzoHalafu kuna watu wanabaki kutambia views za you tube. Wanabweka hao badala wakawekeze kudaka Grammy
Mzee kama umeumia hivi hahahahniwaambie tu muelewe nyinyi wenye kazi ya kuponda wasanii wa bongo. hata nyinyi tukiwaweka kwenye nyanja zenu hamuwezi kucompete na wapopo, wakenya tu wanawakimbiza.
tabia zenu za kusubiri kuponda ila mtu anapofanya vizuri hamtaki kuappreciate ni za kichawi sana.
wanaija now ndio wameushika mziki wa africa sio kwa sababu wao wanaimba sana no, ni sababu opportunity zote kubwa wamekamata njia zake.
kuanzia mtv, recording labels kubwa na publishing companies unakuta top management upande wa Africa wamekaa wanaija sasa unafikiri wataacha kusaidiana.
ebu nyie mnaoponda mkajaribu hata kupata nafasi za decision making kwenye corporate companies kwenye international levels ndio mje kuponda.
mtu kama diamond aliwashawishi sana trace waingizie mziki wa eastafrica kwenye playlist lakini alishindwa walichomsaidia ni kutuletea trace mziiki.
hakuna mnachojua kuhusu muziki wa Africa endeleeni kuponda. okay mbasema kuhusu bongo what about mtu kama fally ipupa? kati ya falii na burnaboy nani mkubwa africa? na utakaa uone fally akipata mashavu jiylize why
Kwaio unataka kusemaje, shida iko wapi, kwanini asipewe heshima, itoshe kusema waliopo wote kwenye video wanastahili heshima, ndio waliofanikisha hio video kuchukua tuzo, kutokea au hata kuimba kwenye video ya Beyonce ni hatua na bahati kubwa sana ambayo wasanii wengi ikiwemo hata wa kwenu hawa wabana pua akina nasibu wanatamani usiku na mchana waipateMe ninavojua Kuna tofauti Kati ya collaboration na featuring kwenye wimbo wa Beyonce brown skin girl pale wizkid ameshirikishwa2 na mmiliki halali wa ule wimbo ni Beyonce ni tofauti na collaboration ambapo wasanii wanaingia studio kufanya ngoma ya pamoja so kwa mantiki hyo ni dhahiri kuwa wizkid hastahili kupewa heshima anayopewa saiv ya kuchukua Grammy
Mazee Fireboy kama akiendelea hivi basi ni suala la muda tu...Mshindi ni Burna.......
He's very serious and he deserves. Wizkid anawekwa kwa appreciation tu, maana wimbo ni wa Beyonce.
Mwaka jana na mwaka huu Burna kafanya kazi kubwa sana na wasanii wengi wakubwa kina John Legend ( kwenye soundtrack ya Coming2America), Sia, Stormyz, Sam Smith, Ed Sheeran etc.
Wanaijeria wako juu sana sasa hivi: Fireboy, Davido n.k kuperfom kwenye Late night shows US ni kawaida.
Congrats.
SingeliAlianza Burna kuperform kwenye SNL ( Saturday Night Live) hapo ndo nikaanza kukubali kuwa tumepigwa gap kubwa tayari.
Tunahitaji kizazi kingine waje na muziki utakaokuwa na authority.
Singeli umefeli kupenetrate hata hapo kenya tu.Singeli
Ngoja kwanza ukomae hapa tz hapo kenya utawafikia tu....Singeli umefeli kupenetrate hata hapo kenya tu.