Habar zenu wadau, mimi ni kijana wakiume elimu yangu ni diploma ya ualimu wa secondary history and geography.
Natafuta ajira yoyote ile kwa malipo yoyote yale, nipo arusha.
Anaeelewa hii kitu anijuze. wanakupa task za kufollow unaingiza dola moja per day. Pia Kuna levels.
VIP 0 ni bure na ndio unaingiza dola moja per day na huwezi withdraw mpaka zifike 148 usd
VIP 1 unalipia usd 147 kujisajili na unakuwa unaingiza usd 3 per day.
Kuregister ni bure na unapewa usd...
Wakuu Kuna tangazo la maombi ya kazi ya sensa sasa vikorombwezo viiingi baada ya kutuma maombi unaambiwa utatumiwa nywila kwenye email ulojaza ili uweze kupata access ya kupakua fomu namba moja vipi kuna aliefanikiwa kutumiwa nywila kwa wale walioomba?majibu tafadhali
Kwahyo unaunga mkono madai ya gwajima kwamba
1:viongoz waliochanja wamefake.
2:serikali imehongwa ili wakubali chanjo iingie nchini.
3:ukichanja unakufa baada ya miaka miwili
Wabunge ndio wanastahili kulipa hiii Kodi manake wanapata pesa bila jasho.
Ingependeza kwenye milioni 12 wanazopokea kwa mwezi kila mmoja akatwe milioni moja ya Kodi ya uzalendo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.