Nani anafahamu kuhusu Twitter follow

Oloisusuki

Member
Mar 27, 2021
23
19
Anaeelewa hii kitu anijuze. wanakupa task za kufollow unaingiza dola moja per day. Pia Kuna levels.

VIP 0 ni bure na ndio unaingiza dola moja per day na huwezi withdraw mpaka zifike 148 usd

VIP 1 unalipia usd 147 kujisajili na unakuwa unaingiza usd 3 per day.
Kuregister ni bure na unapewa usd 45 free then ndio unabakia vip 0 uingize dola moja Kila siku mpaka zifike 148 ndio uweze toa au ulipe 148 usd uwe unaingiza dola 3 per day ambayo wanadai unaeza withdraw any time

Mwenye kuijua anijuze plz
 
Hakuna hela inayopatikana kirahisi hivyo...huo ni mchezo wa upatu !

20220522_215052.jpg
 
Back
Top Bottom