Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

Kwanini usiite ni uhuru wa kutoa maoni ambao kipindi cha Magufuli haukuwepo? usiite dharau bali huo ni uhuru wa kutoa maoni.
Hakuna uhuru wa maoni wa kusingizia mkuu wa nchi na viongozi wengine kuwa mara wamehongwa...mara wamechoma chanjo za maji...uongouongo tu!

Hapana. Huyu ni mhalifu. Anachochea wananchi kuasi kwa kutoa maneno ya uchochezi ya uongo. Je,Siro hajaona jinai hapo? Au ndio mambo ya kulindana ya wale wanaotajwa kuwa sukumagang?
 
Dai la msingi la kukamatwa kwake liwe kuhusu kupokea pesa kama Rushwa kwa viongozi waandamizi akiwemo Rais ili Chanjo itumike nchini kwa hapa ana hoja ya kutakiwa kuthibitisha hayo madai yake

Lakini kuhusu mambo ya Chanjo wangempotezea tu maana ‘Ignorance is bliss’ afu pia chanjo ni hiari siku akiona umuhimu atajua wapi pa kwenda, sana wangempa ujumbe tu hili suala libaki kwake na familia yake tu
 
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:

His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid.

Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.

They have the right to be stupid and to be wrong.

Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed.

He and his stupid flock should be left alone to wallow in their stupidity.

Badala yake, vyombo vya dola vijikite kupambana na uhalifu na viachane na mambo ya kipumbavu.

Anti-vaxxers wapo duniani kote.

Tusitumie nguvu kuwaziba midomo hawa wa kwetu.

Napinga kukamatwa kwa Askofu Gwajima endapo atakamatwa.
I better be as stupid as they are. ..
 
Na huezi ukapingana na serikali Kama unapingana na wajinga flani kwa kupayuka payuka,na badala ya kuzungumzia neno la MUNGU unazungumzia Mambo ya kidoctor ambapo wewe si doctor
Halafu angeweza kukataa na akabaki kimya kwa kuwa ni hiari. Lakini inaonekana anafanya kampeni ya kutochanja. Binafsi nashauri aitwe athibitishe yafuatayo:-
1. Hao waliolipwa kuleta covax walilipwa na nani na kiasi gani? Hapa TAKUKURU wanatakiwa wamhoji. Hii ni serious accusation .
2. Yeye ni mwakilishi wa wananchi. Angeenda bungeni na hoja binafsi na kushawishi wabunge kuhusu madai yake.
3. Kwa kuwa hakuwahi kupinga nyungu atwambie kama kuna mtaalam alijiridhisha kama nyungu ilikuwa na prescriptions zipi hadi tuiamini.
 
Kama tattoo ni chanjo waziri apeleke malalamiko MAT ili lishughulikiwe kitabibu, police waacheni wahalifu
 
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:

His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid.

Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.

They have the right to be stupid and to be wrong.

Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed.

He and his stupid flock should be left alone to wallow in their stupidity.

Badala yake, vyombo vya dola vijikite kupambana na uhalifu na viachane na mambo ya kipumbavu.

Anti-vaxxers wapo duniani kote.

Tusitumie nguvu kuwaziba midomo hawa wa kwetu.

Napinga kukamatwa kwa Askofu Gwajima endapo atakamatwa.

Nilipoona title nilijiandaa kukupinga na kukutupia madongo, lakini nimekuelewa! Sema kama kuna ma-stupidist wenzake na wamkamate tu, maana hakuna tena namna!
 
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:

His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid.

Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.

They have the right to be stupid and to be wrong.

Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed.

He and his stupid flock should be left alone to wallow in their stupidity.

Badala yake, vyombo vya dola vijikite kupambana na uhalifu na viachane na mambo ya kipumbavu.

Anti-vaxxers wapo duniani kote.

Tusitumie nguvu kuwaziba midomo hawa wa kwetu.

Napinga kukamatwa kwa Askofu Gwajima endapo atakamatwa.

Kuachwa Gwajima inategemea na culcalation ya madhara yatokanayo na propaganda zako. Kwa kiongozi ambae ni intolerant kashamshughulikia Gwajima mapema sana maana anachokifanya ni uasi. Kwa hiyo naamini securities wako makini sana wanafanya analysis why Rashid behave in that way
 
Pumba.
 
Naunga mkono kichwa cha habari, lakini siungi mkono mwili wa habari.

Ujinga au Werevu wa mtu uko kwenye suala la kimtazamo tu, siyo lazima liwe la suala la kimantiki, mpaka hapo itakapothibitika hakika ya suala husika.

Aliyekubali kuchanjwa anaweza kuwa na sababu zake kutokana na taarifa alizokusanya na kujiridhisha, na asiyekubali kuchanjwa anaweza kuwa na sababu zake kutokana na taarifa alizokusanya na kujiridhisha.

Hapo hakuna Mjinga Wala hakuna Mwerevu. Na Wala hakuna wa kukamatwa pia.
 
Back
Top Bottom