Dkt. Tulia: Hakuna namna ya kuzuia watu kuamini kuwa Bunge limemezwa na Dola, lakini Bunge linafanywa kazi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni

Basi hizo Katiba na Kanuni Hazifai.....

Issue kubwa kuhusu Haki sio kwamba tu itendeke bali ionekane pia kwamba imetendeka..., Sasa kama kila mtu anaona kwamba imemezwa alafu yeye na wenzake pekee either wanaona haijamezwa au umezwaji huu ni sawa (basi watoe mambo ya mihimili ibaki miwili au mmoja) hakuna sababu ya kuendelea na maigizo kwa kutumia pesa zetu za Kodi...
Watu wanawaza kupiga pesa
 
Sidhani kama kuna nafuu, wote ni wale wale watapia tumbo.

Ni sawa na mtu akuambie uchague kupigwa na nondo au jiwe la kichwa.
Huwezi kumjaji MTU kabla hajaanza kazi !! Hizo ni Ramli za kutumia simbi zikimwagwa chini moja ikitangulia utaambiwa hapa inaonekana utafanya safari !!
 
Huyu tulia hana uwezo wa kuongoza itakuwa vichekesho na upumbavu mtupu
 
Spika kwa hisani ya m.kiti wa CCM na kiongozi wa serikali.Katiba Bora ndio suluhu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom