Recent content by Olmost

  1. Olmost

    TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

    Afya yangu ya akili ni njema kabisa, Asante Kwa maoni Yako.
  2. Olmost

    TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

    Ndo nataka nijue hizo watazoiba,
  3. Olmost

    TBC1 kuonyesha mechi zipi AFCON 2025?

    Habari za mchana wana jf, TBC1 walisema wataonyesha mechi 32 kati ya 54 za AFCON, mwenye kujua mechi hizo ni zipi aniambie hapa.
  4. Olmost

    Mechi ya Al Rabita vs Namungo yafutwa

  5. Olmost

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuanzia timu 9, 10 na 11
  6. Olmost

    Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

    Azam wenyewe wanaoonesha hiyo mechi wamesema mechi itaanza saa 4, acha kudanganya umma.
  7. Olmost

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Unaweza fanya hivi halafu ukaona mambo yatakayotokea mbele, kwa mfano ukaona mechi ya yanga na simba itakavyokuwa kesho?
  8. Olmost

    Samatta akata pumzi EPL

    ======= Aston Villa’s Smith discusses Samatta and Betrand Traore omission in Sheffield United win Mbwana Samatta was omitted from the Aston Villa squad that defeated Sheffield United 1-0 on Monday because of his performance in training, manager Dean Smith has confirmed. The Tanzania...
  9. Olmost

    Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

    Mara nyingi huwa hatupendi usumbufu.
  10. Olmost

    Ninaomba kufahamishwa Application ya kurecover picha zilizofutwa (Deleted)

    Habari Wakuu, Ninaomba mwenye kujua Application ya kurecover deleted photos kwenye Android aniambie jina lake ili niitafute Aidha, iwe inafanya kazi maana ukienda Playstore nyingi ni fake na hazifanyi kazi hiyo ipasavyo. Asante
  11. Olmost

    Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Jamani mlioko dodoma mnaweza kutuambia leo 'yesu' anasali kanisa gani?
  12. Olmost

    Naomba kujuzwa haya kuhusu App ya J football TV

    Za kuambiwa ................
  13. Olmost

    Hivi si alisema atabeba mikoba ya marehemu Mengi?mpaka sasa mbona kimya tena

    Tunajiandaa na sherehe ya sunday kwanza, tukimaliza tutakujibu.
Back
Top Bottom