Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Wasalaam wakuu.

Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.

Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao.

Je, hii inachangiwa na wao kuogopa kuumizwa au? Maana anaweza kuingia kwenye mahusiano na akadumu kwa wiki tu ukimuuliza anakwambia ameona hayo mahusiano hayatafika mbali.

Hebu tusaidiane hapa wakuu.
 
Back
Top Bottom