Recent content by oldonyosambu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

    Mimi nimemuelewa vizuri saana Mary Chatanda na tegemeeni mengi zaidi yatakayoibuliwa na Mh.Mary Chatanda pamoja na yule Mh.aliyetowa takwimu za miradi ya maji alikuwa amevaa miwani,blouse ya yellow na kijacket cha green na ni mwanamke.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete amkemea DC Makonda

    Kwani DC Makonda alikwenda Disco na White Party.....sio vizuri ndugu zangu kumpaka matope Mh.Makonda.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tuwachore Shilingi haipandi itazidi kushuka.............

    Mama Madabida yuko bungeni, kiwanda, chake cha dawa ARUSHA kinazalisha madawa chini ya kiwango,namshauri awachane na siasa asimamie kiwanda aokoe maisha yetu na akuze uchumi wetu.atapata baraka za Mungu kuliko huko kwenye siasa
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

    Huwa naangalia BUNGE la Kenya..naona tofauti kubwa saana kati ya bunge lao na la kwetu.Nadhani wale wachache ambao wameishia darasa la saba wamewaharibu wale wenye elimu ya kuongoza.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

    Kama Tanga vile.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

    Kwa nini anamnyima Halima Mdee nafasi..
  7. O

    JamiiForums Tanzania Daraja maarufu Tanzania

    Kabla ya daraja palikuwa na nini...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    All in all, mimi na wenzangu wengi tunampenda EL awe Rais
  9. O

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alipotoa taarifa ya kupinga ''Mapinduzi'' Burundi

    Kwani wananchi wanammaindi ....(MIND)
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid Mbunge wa CUF, aaga Bunge na kutangaza kugombea urais kupitia chama cha ADC

    Angekuwa shujaa mzuri saana kama angeondoka Dom leoleo
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla afunika Bungeni

    Lakini alovyoongea leo kabadilisha kabisa hotuba yake ya jana na si ajabu uchangiaji wake wa leo ukamgharimu.Yule wa Kigoma leo amesema ukweli kuhusu kusafishwa watuhumiwa wa Escrow sasa sijui na yeye kesho atabadilisha mchango wake...????
  12. O

    JamiiForums Tanzania CCM Arusha yampigia magoti mfanyabiashara Thomasi Munis, Mbio za Ubunge

    Kwa ARA labda apatikane mchungaji au padre mwenye asili ya ARA, na akubalike waislamu au awekwe Mwanamke mchagga mwenye asili ya ARA ndiyo CCM inaweza jaribu.Lakini Ccm ARA iko na EL sijui naye ataoendekeza nani.Asilimia kubwa ya wakazi wa ARA ni wachagga na ni wafanyabiashara kwa hiyo CCM...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Serikali kumtuma Dk Bana TBC kulaani mapinduzi ya Burundi inaashiria nini?

    Jamani UFALME nomaa..sasa anakuwa mkimbizi.Nazidi kuamini Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

    Siyo adabu nzuri....kikwetu hiyo ni laana,inahitajika kuchinjwa kondoo mweusi.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Burundi mambo tayari
Back
Top Bottom