mnh sijajua kwakweli, lakini mbona kampiga chini
Anamuiga Lisu aliyesema serikali imechoka. Hapo anataka yeye kujitoa kuwa hayumo kwenye kundi la kuchokaNimecheka pale JK alipomwambia injinia, mbona umechoka sana unampango gani na haya maji, you look tired.
Source: itv habari
Mmh.. ningekuwa kuwa mimi ndege anayenong'ona ningemnong'oneza Makonda amuulize "Kwani wewe umefanya nini?"
Mipango ya muda mrefu kwani mafuriko hayo yameanza leo??
wewe mzee ytushakuzoea ni mtu wa kulalamika na kutoridhika.tangu niko la tano unalalamika tu kuanzia kwenye RAI,hadi leo nina PHD bado tu.miaka 30?,pumzika bana
duuh nakumbuka aliwahi kumtoa show DC wa Korogwe
mwaka jana kwenye ziara akisoma taarifa ya maendeleo ya Wilaya
Hadi ilibidi nifiche sura yangu.
So kupigwa chini kwa yule bwamdogo nilitegemea
Hapo aapikutana makinda mhuni na kikwete dhaifu. Usiniulize matokeo yatakuwaje......