Recent content by Olaph.uk

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anasema hawezi kuolewa bila harusi

    Ndugu zangu wanajamiiF, Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa, lakini cha kushangaza anasema hawezi kuolewa bila harusi na mimi sipo tayari kufunga harusi, na anasema anaomba Mungu apate bwana atakaye muoa kwa harusi. Naombeni ushauri wenu
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    Zuhura Yunus wa BBC SWAHILI
  3. O

    JamiiForums Tanzania BASATA na adhabu ya Shilole

    Mwezi wa sita Shilole alifungiwa na BASATA kutokushiriki shughuli yoyote ya kimziki na sanaa kwa mwaka mmoja, kwa kile kilichosemekana amewadharilisha watanzania pale alipokuwa anatumbuiza kule nchini Swedeni, cha kushangaza msanii huyo amekuwa akizunguza katika kampeni mojawapo za chama cha...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Swali kwa BASATA

    Hivi karibuni kuna msanii wa kike wa bongo fleva, alifungiwa kufanya au kushiriki shughuli yoyote ya mziki kwa mwaka mmoja na Baraza la Muziki la Taifa, kwa kile kilochosemekana eti alidhalilisha umma wa Watanzania alipokuwa akitumbuiza nchini Sweden, lakini cha kushangaza msanii huyo amekuwa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumnunulia simu mwanamke

    Wanajamii, nina mpenz wangu yapata mwaka mmoja sana, nilikuwa na tabia ya kushika na kuangalia cm ya mpenz wangu, ilifika wakati akanikataza nisishike tena cm yake kila mtu abaki na yake, saiv cm yake ameibiwa anaomba nimnunulie cm nyingine, sas mim najiuliza nitamnunuliaje cm wakat yeye hataki...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

    Childish mind, weka thread yenye akili, ukisoma UD, UDOM, SAUT, TEKU, degree ni moja tu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

    kigwangala kaa kimya haujui siasa
  8. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilisitisha mkopo kwa lengo la kubadilisha kozi nataka niombe tena

    kwa serikali ya tanzania hapo sahau, ukipata tumia, kam ilibatilisha, cdhan ka itapata tena
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada jamani

    kukagua cm ya mpenzi wako ni makosa?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete sio wewe uliowaleta real madrid

    Sifaaaaaa za kijinga, aaaahhh sifa za kijinga, ha ha ha ha ha ha Rais umebukaje
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dr.Kikwete Tunakushukuru kwa haya Yote

    Hongera sana kikwete na ukaona elimu ya bongo ni uchwaro ukaleta BR na mjinga mwenzio Sura mbaya, pia haujali wanafunzi wa elimu ya juu kwa kuchukua hela yao na kupeleka kweny bunge la Wapumbavu. Endelea kuchukua chako utambae, Tunashukur kwa kutuachia deni na amasikin, ila nitakukumbuka...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Maandamanao ya wanafunzi wa elimu ya tarehe 15/08/2014- Nchi nzima

    naomben namba ya kikwete na sura mbaya
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

    Ivi hyo cloudz ni kituo cha kelelea mbwa au!!!!!!!!!! manake cjajua, wasalimien huko Tanzania, kam ni kituo cha radio, Watz hamko makin, kunamtangazaji mmoja cjui ni kahaba!!!!!!!!!!, na watangazaji wake na mmiliki ni vibao vya jamii
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

    Ivi hyo cloudz ni kituo cha kelelea mbwa au!!!!!!!!!! manake cjajua, wasalimien huko Tanzania
  15. O

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Angepigwa vibao kwanza, mshenzi
Back
Top Bottom