Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Kama ni kweli basi dhana ya utawala bora ambayo ni nguzo kuu ya selikari CCM hawaitekelezi kwa vitendo!!!!!!!!!!
Lini iliwahi kutekeleza UTAWALA BORA????
Kama ni kweli basi dhana ya utawala bora ambayo ni nguzo kuu ya selikari CCM hawaitekelezi kwa vitendo!!!!!!!!!!
Nyani haoni kundule.
Kuna popote alipewa adhabu..??
ushafeli weweanaeheshimu sheria niyule KIONGOZI ANAESEMA atamwachia mbakaji?ili aje aendeleze kutuharibia watoto wetu?
Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
Kumbuka kuna cyber crime law unakurupuka na tuhuma usizoweza kuthibitisha. Polisi au mahakama gani likofunguliwa mashitaka kwa tuhuma hizo?? Wakubwa wako wenyewe wanaogopa kuongea hayo hujui unacheza muziki usioujua
Nyani haoni kundule.
Nyani haoni kundule.
Nyani haoni kundule.
Mwezi wa sita Shilole alifungiwa na BASATA kutokushiriki shughuli yoyote ya kimziki na sanaa kwa mwaka mmoja, kwa kile kilichosemekana amewadharilisha watanzania pale alipokuwa anatumbuiza kule nchini Swedeni, cha kushangaza msanii huyo amekuwa akizunguza katika kampeni mojawapo za chama cha siasa na BASATA wamekaa kimya tu.
Je, kilikuwa kiini macho au?