karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 138
Kwahio na Brazil aliwaleta yeye ?
utakua single parent dada yangu huelewe mana ya baba
Kwahio na Brazil aliwaleta yeye ?
Wakuu nadhani nyote mnakumbuka kua kwenye kampeni za uraisi Kikwete aliahidi kuwaleta real madrid, ni kweli veteran wa real madrid wamekuja, ila kinachonishangaza ni rais Kikwete kujivisha hizi sifa kua yeye ndo kawaleta, huu ni uongo wa mchana, real madrid wameletwa na mwarabu mwenye supermarket za tsn na wazo lilikuja baada ya jamaa kukutana na Luis Figo Dubai wala wazo halikutokana na ahadi za raisi.
Ombi: Kikwete na vyombo vya habari acheni kupotosha watu.
Aisee, mkulu nae msanii!
Hili neno aliwahi kuniambia Mama yako,lakini nilipiga moyo konde mpaka leo umezaliwa kwa kazi hiyoSo shut the fkup!!!?