Hao ndo zao ukiwa na bifu nao hawachelewi kuwa na kinyongo, wao wanapenda kusifiwa na kunyonya wasiojiweza ukikosoa tu majangaNIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.
Katika list ya radio bora Africa iko ndani ya top 10 imeshika no 7 na radio pekee Tanzania ktk top 10 ya the best Radio station in Africa.
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.
Hizi ni data kutoka source gani?
Munafikiri wote ni Wachaga!!!