Recent content by Ofisa mjumbe

  1. Ofisa mjumbe

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    UNatafuta kilichofutwa?
  2. Ofisa mjumbe

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Unakuja na hidithi za kjv au ubora wa neno la MUNGU
  3. Ofisa mjumbe

    MB au data zinatengenezwa wapi?

    Kabisa...Na ki KLF Hakuna fizikia humu
  4. Ofisa mjumbe

    Kuishi na walimwengu yataka moyo

    Hama ...jiran kama hamuelewan hata mbiguni huendi
  5. Ofisa mjumbe

    Je, kulikua na binadamu kabla ya adamu na hawa/eva?

    Binafsi naamini MUNGU aliumba ADAM NA DEMU WAKE tu sisi wengine tulikuwepo.. Naamanisha ADAM ni baba wa taifa la MUNGU tu [wayahudi] Sisi wengine tulikuwepo wepo na destufi zetu.. Ukianza kusoma mwanzo utaona baada ya kufukuzwa bustanini ADAM ALIKIMBIA akawa analima na kuchunga ..akapata...
  6. Ofisa mjumbe

    Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

    Mbona maneno MACHAFU SANA TENAH
  7. Ofisa mjumbe

    Nahitaji shamba la kulima mpunga

    Nahitaji shamba la kulima mpunga kwa yeyote mwenye nia tunaweza ungana au akanikodishia tulime au nilime mpunga
  8. Ofisa mjumbe

    Series (Special thread)

    tehransijaona utamwake
  9. Ofisa mjumbe

    Graduate msio na kazi kafugeni kuku. Mradi huu unalipa sana

    kwa taarifa yako ukilinganisha miradi ya ufugaji wa kuku inayoendelea hapa nchini kwa sasa mfano ,LEAD PROJECT( LIVELIHOOD ENHANCEMENT THROUGH AGRI.DEVELOPMENT ) RLDC,INANDES FORMATION, MOVEK, N.K hawajaweza kutosheleza mahitaji ya kuku wa kienyeji hapa nchini ukiacha nchi za nje..hivyo usika...
  10. Ofisa mjumbe

    Masahihisho: Halijatangazwa Baraza Jipya la Mawaziri!

    kwa baraza jipya la mawaziri, wengi wetu tulitegemea litakuwa jipya ila kwa bahati mbaya sio jipwa ila ni watu tumewapandisha vyeo ......
  11. Ofisa mjumbe

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    nahitaji vifaranga 600 vya wiki 5 had 12 napatikana dodoma mjini...
  12. Ofisa mjumbe

    Ramani ya Nyumba hii Inauzwa kulipia HESLB kwa tuliokosa Mkopo wa vyuo vikuu

    mkuu hongera sana kwanza kwa ubunifu wako,mimi nataka master moja 4/4 vyumba viwili vya wastani vya kulala dinning,sebule,jiko,public ..mchoro usiwe na paa la kukompricate laki ipo100000 ,,nitumie sample kwenye privete inbox..
  13. Ofisa mjumbe

    Raman ya nyumba inahitajika haraka...

    nahitaji ramani ya nyumba yenye vyumba viwili vya kulala,master moja,dinning,sebure ya kuweza kukaa seti mbili za coach na vikoro koro kadha wa kadhaa,jiko,stool, choo cha public..SIMPLE BUT COMPLEX......
  14. Ofisa mjumbe

    Kama ni wewe itika!

    kwa wale waliohitimu form six 2007 tabora .shule ya sekondary milambo tena mkondo wa PCB.mpo? :lol:
Back
Top Bottom