Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

NIV ni kitabu batili cha biblia na wakristo wote wanatakiwa wazitupe kwenye dustbin au zipelekwe kwenye vijiji visivyo na maji ya kutosha kwa ajili ya kuchambia....Scholars wote walioiandika (New International Version) mkristo una haki ya kuwajua pamoja na tabia zao chafu,,zaidi pia wafadhili wa kuandika hio biblia ni watu wasio sahihi,,,kila mkristo awafatilie ili ajiridhishe kuhusu njama na mwenendo wao ili kuitupa chooni hii version.KING JAMES VERSION ni biblia sahihi ilioandikwa na schollars sahihi wakati bado ulaya kukiwa na hofu ya MUNGU.
Hivyo vitabu kama kitabu cha yashari,,enock,,esdras,,judith,,tobith na vingine vingi vya kihistoria havina nafasi katika biblia yenye lengo kamili la Imani maana vimejaa mashairi na historia isio na faida katika maisha ya kiroho na kiimani kwa mkristo makini aliemuamini YESU KRISTO.Ni vitabu vizuri kwa ajili ya kufundishia darasani.

Mfano miaka michache imepita serikali ya South Afrika imeingiza mtaala wa uchawi katika mtaala wake wa elimu ya juu,,,degree,,masters,,phd nk.Sasa sitoshangaa serikali ya Afrika ya kusini kukitumia kitabu cha enock kama reference.
sasa mbona hata KJV nayo ina contradict sehemu nyingi
 
Earthen scrolls nyingi ziliongezwa aidha kupunguzwa aidha kubadilishwa na COSTANTINE WA ROMA!
IPO SHIDA ETHIOPIC SCROLL NYINGI NI ZA KALE ZAIDI KULIKO SCROLL ZA KOKOTE KULE DUNIANI, VERY COMFUSED! HATA ETHIOPIC BIBLE SCROLL ZINATENGENEZA BIBLIA KUBWA KWELI YA KUSTAAJABISHA!
 
MAANDIKO YENYE UTATA
Kuna mistari mingine ambayo ni halali kibiblia ila imebadilishwa maeneo husika ipo mistari zaidi ya 50 kwenye agano jipya mfano Yohanna 7:53-8:11 kuhusu Yesu kuwepo hekaluni ila ghafla kipande kati ya 7:52 na 8:11 vimechomeka story ya mwanamke kahaba alietaka kupigwa mawe na ghafla mstari wa 12 unaendelea Yesu akiwa hekaluni hii inakubaliwa na wanatheolojia wote kuwa kilichomekwa na hakikuwepo kwenye maandiko orijino kama una biblia hapo kasome hiki kipande alafu utaelewa nachosema. Kanisa likaamua kuita vitabu vyenye maandiko na uandishi wa utata kuwa ni disputed books ilihali zina sifa zile zile za kuitwa pseudepigraphi na kutakiwa kufutwa kwenye biblia. Mfano Marko 16 inaishia mstari wa 8 ila 9-20 haikuwepo bali iliongezwa miaka mingi mbele na mtu asiyetambulika ila bado kipo kwenye biblia lakini kitabu cha Enoch au Yuda iskariot vimetolewa kwa hoja hiyo hiyo?? Kuna ajenda gani hapa wakuu?? Kipi tunafichwa?? Anyway disputed books kulingana na mwanatheolojia E. P. Sanders ni waefeso,wakolosai,2 wathesalonike, 1 & 2, Tito na vingine vingi.... Je kama vina kasoro kwanini vimeachwa??

VILIANDIKWA NA MUNGU?
Kuna hoja inasema vitabu vya Biblia viliandikwa kwa uweza wa Roho mtakatifu hivyo vile vilivyoachwa havikuandikwa na Roho mtakatifu sasa tujiulize GT kama kuna mistari ya Biblia imeongezwa na wanadamu mfano isaya,wimbo ulio bora,Tito,Yeremia,marko je bado hoja hii ina mashiko ilihali wanatheolojia wanakiri biblia ilichezewa kwa mifano niliyotoa hapo juu na kama si kweli viliandikwa kwa uweza wa Roho bali fahamu za wanadamu je kwanini basi ilitumika kuzuia vitabu kama Injili ya Yuda ama Thomaso?? Je hakuna agenda ya siri kwanini vilizuiwa alafu sisi tukaaminishwa tu kuwa havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu??
View attachment 830349
PSEUDEPIGRAPHI ZINAKINZANA NA BIBLE
kuna hoja ilitolewa kwamba vitabu vya biblia vinakinzana na Pseudipigrapha ndio maana vikatolewa kwenye bible ila cha kujiuliza GT mbona kuna taarifa zinakinzana ndani ya biblia lakini havijatolewa??

MIFANO
Mathayo 4:1-11 inasema mara tu baada ya ubatizo Yesu alienda kufunga siku 40 ila Yohana 2:1 anasema siku tatu baada ya kubatizwa Yesu alikua kwenye harusi ya Cana!!

Au mathayo 27:44 wale wezi wawili walimtukana Yesu ila luka 23:39 inasema mmoja alitukana mwingine alimtetea.

Mathayo 28:9 inasema Yesu baada ya kufufuka aliruhusu Mary amshike ila Yohana 20:17 Inaonyesha baada ya kufufuka na kuonana na mary, Yesu akamzuia kumgusa sababu alikua bado hajarudi kwa Baba!!

Hiyo ni mifano tu ila kuna mistari zaidi ya mamia inayopishana taarifa ila vimeachwa kwenye bible lakini pseudipigraphi zikipishana hata neno moja ndio wanajengea hoja kwamba ndio sababu havipo kwenye bible je sababu hii ilisababisha vitolewe ama kuna mengi tunafichwa?

HITIMISHO
Kwa kuhitimisha labda niseme tu kumekuwa na maswali mengi juu ya chanzo hasa cha vitabu vingine kutolewa kwenye biblia na vingine kuachwa wakato vina kasoro zile zile..... Na hata mkuu Pendael24 alishawahi kuhoji kwamba kama tunafikiri biblia imechezewa je Mungu haoni hadi aruhusu hilo?? Na akahoji mbona Biblia inatenda ina maana kazi ya forgery inaweza kuwa na nguvu za Mungu na akanihoji je wachungaji wote hawa wakubwa hawalijui hili kiasi Mungu awaache watumie bibloa iliyochakachuliwa?? Kiukweli nilikosa majibu ila nategemea leo humu majibu yote yatapatikana

NB: Mimi nimechokoza mada tu ili kupata maarifa ya GT ila sio msimamo wangu kuwa bible ni batili au Qur'an ndio sahihi hivyo tunapojadili hoja humu tuhakikishe tunazingatia hilo pia udini na kejeli na matusi sio uwanja wake humu, nataka tujadili kwa kujifunza sio kupambana.

Karibuni kwa mjadala
All in all biblia ni juu au tuseme inafichua juu ya
1.uumbaji wa Mungu,
2.chanzo cha dhambi
3.madhara ya dhambi
4.ukombozi kutoka kwenye dhambi
5.dunia mpya-yaani kwenda mbinguni
Sasa kama kuna kitabu kitakuwa na mada tofauti na hizo lazima kitolewe
 
Bahati yako, nimechoka.

Nakuahidi, nitaleta uzi wa kweli kutoka katika wanatheolojia sahihi.

Achen kupotosha watu.
Toka kuumbwa kwa ulimwengu. biblia sahihi ni ya

King james version na ambayo imeandikwa na waandishi wapatao 40 yaan mitume na manabii.
Na biblia hii ina vitabu 66 .

Acha mbwembwe....
Mnadanganya wasojua ukweli nakutaka kuufatilia na maandiko yenu ya porojo.

Sasa siku nitaletea HISTORIA SAHIHI YA BIBLIA, MPAKA KING CHARZ WA UFARANSA ALIOJARIBU KUIFUTILIA MBALI LKN AKASHINDWA .
Unakuja na hidithi za kjv au ubora wa neno la MUNGU
 
MAANDIKO YENYE UTATA
Kuna mistari mingine ambayo ni halali kibiblia ila imebadilishwa maeneo husika ipo mistari zaidi ya 50 kwenye agano jipya mfano Yohanna 7:53-8:11 kuhusu Yesu kuwepo hekaluni ila ghafla kipande kati ya 7:52 na 8:11 vimechomeka story ya mwanamke kahaba alietaka kupigwa mawe na ghafla mstari wa 12 unaendelea Yesu akiwa hekaluni hii inakubaliwa na wanatheolojia wote kuwa kilichomekwa na hakikuwepo kwenye maandiko orijino kama una biblia hapo kasome hiki kipande alafu utaelewa nachosema. Kanisa likaamua kuita vitabu vyenye maandiko na uandishi wa utata kuwa ni disputed books ilihali zina sifa zile zile za kuitwa pseudepigraphi na kutakiwa kufutwa kwenye biblia. Mfano Marko 16 inaishia mstari wa 8 ila 9-20 haikuwepo bali iliongezwa miaka mingi mbele na mtu asiyetambulika ila bado kipo kwenye biblia lakini kitabu cha Enoch au Yuda iskariot vimetolewa kwa hoja hiyo hiyo?? Kuna ajenda gani hapa wakuu?? Kipi tunafichwa?? Anyway disputed books kulingana na mwanatheolojia E. P. Sanders ni waefeso,wakolosai,2 wathesalonike, 1 & 2, Tito na vingine vingi.... Je kama vina kasoro kwanini vimeachwa??

VILIANDIKWA NA MUNGU?
Kuna hoja inasema vitabu vya Biblia viliandikwa kwa uweza wa Roho mtakatifu hivyo vile vilivyoachwa havikuandikwa na Roho mtakatifu sasa tujiulize GT kama kuna mistari ya Biblia imeongezwa na wanadamu mfano isaya,wimbo ulio bora,Tito,Yeremia,marko je bado hoja hii ina mashiko ilihali wanatheolojia wanakiri biblia ilichezewa kwa mifano niliyotoa hapo juu na kama si kweli viliandikwa kwa uweza wa Roho bali fahamu za wanadamu je kwanini basi ilitumika kuzuia vitabu kama Injili ya Yuda ama Thomaso?? Je hakuna agenda ya siri kwanini vilizuiwa alafu sisi tukaaminishwa tu kuwa havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu??
View attachment 830349
PSEUDEPIGRAPHI ZINAKINZANA NA BIBLE
kuna hoja ilitolewa kwamba vitabu vya biblia vinakinzana na Pseudipigrapha ndio maana vikatolewa kwenye bible ila cha kujiuliza GT mbona kuna taarifa zinakinzana ndani ya biblia lakini havijatolewa??

MIFANO
Mathayo 4:1-11 inasema mara tu baada ya ubatizo Yesu alienda kufunga siku 40 ila Yohana 2:1 anasema siku tatu baada ya kubatizwa Yesu alikua kwenye harusi ya Cana!!

Au mathayo 27:44 wale wezi wawili walimtukana Yesu ila luka 23:39 inasema mmoja alitukana mwingine alimtetea.

Mathayo 28:9 inasema Yesu baada ya kufufuka aliruhusu Mary amshike ila Yohana 20:17 Inaonyesha baada ya kufufuka na kuonana na mary, Yesu akamzuia kumgusa sababu alikua bado hajarudi kwa Baba!!

Hiyo ni mifano tu ila kuna mistari zaidi ya mamia inayopishana taarifa ila vimeachwa kwenye bible lakini pseudipigraphi zikipishana hata neno moja ndio wanajengea hoja kwamba ndio sababu havipo kwenye bible je sababu hii ilisababisha vitolewe ama kuna mengi tunafichwa?

HITIMISHO
Kwa kuhitimisha labda niseme tu kumekuwa na maswali mengi juu ya chanzo hasa cha vitabu vingine kutolewa kwenye biblia na vingine kuachwa wakato vina kasoro zile zile..... Na hata mkuu Pendael24 alishawahi kuhoji kwamba kama tunafikiri biblia imechezewa je Mungu haoni hadi aruhusu hilo?? Na akahoji mbona Biblia inatenda ina maana kazi ya forgery inaweza kuwa na nguvu za Mungu na akanihoji je wachungaji wote hawa wakubwa hawalijui hili kiasi Mungu awaache watumie bibloa iliyochakachuliwa?? Kiukweli nilikosa majibu ila nategemea leo humu majibu yote yatapatikana

NB: Mimi nimechokoza mada tu ili kupata maarifa ya GT ila sio msimamo wangu kuwa bible ni batili au Qur'an ndio sahihi hivyo tunapojadili hoja humu tuhakikishe tunazingatia hilo pia udini na kejeli na matusi sio uwanja wake humu, nataka tujadili kwa kujifunza sio kupambana.

Karibuni kwa mjadala
Haya biblia ina kasoro,tufate kitabu gani?
 
Sasa hiyo unayoisena ni kwa taarifa yako ni "hybrid" ya holly bible. Jamaa aliikariri kwa muda mfupi kama unavyotaka kufanya mtihani halafu unalazimisha material mengi kwa wakati mmoja, jamaa yakajichanganya kichwani , na akawa atatamka maandiko yaliyohalisi na madude mengine kama vile mtu anayeota ndio maana hata hayo maandiko hayajanyooka yaani habari hajulikani imezia wapi wala inaishia wapi ipo kama mashairi yanayoanzia mwisho
Haya madai ya kusema Muhammadi amekariri kwa sababu amevikuta vitabu vingine je Utasemje kuhusu Yesu na yeye hakuvikuta mpaka akaja na Injili.
 
Most folks don't understand the book,
Biblia ni kitabu cha Imani kilichokusudia kuua science, culture na kuzaa kizazi cha kitumwa na kidhaifu ambacho muongozo wake ni Imani, usawa etc,

How come, the first sin commited by man is science..

Thou shalt not know, and when man knew it was counted as sin,

Mtu anapaswa kumtegemea Mungu kwenye Maisha yake yote, siku mtu akijua hatomtegemea tena Mungu bali atakuwa Mungu, na njia pekee ya kuzuia hill ni kupitia kumpa mtu dhambi, ill akili isisumbuke na kutafuta maarifa bali isumbuke na dhambi pamoja na adhabu baada ya kutenda dhambi kwa kujiona mkosefu...

Antichrist
 
So you're the one who understands the book! ! ! Look at you! ! !

The more time goes the more I understand God's silence. Best strategy even I use in my personal life these days: stay silent.

Anyways, quoting John Lennox: The notion that God is trying to keep us down is the original LlE.

Another one: The first task God gave the first humans was science (Taxonomy) - name the animals.

View: https://youtu.be/LTQ0iANA3uM?si=GWfs7HaqZ6pmOnzH

To add: if you don't believe Christ rose from the dead I'd just like to point that uko kwenye giza and no matter how much you think you know truly truly hujui! !

Na utaachwa huko huko kwenye kutokujua, no one is going force you to change your mind! Until you decide by your own free will that there is someone greater than you, and that he only can guide you to the truth.

(not debating)
 
Yes, sometimes we engage the accuser, and sometimes the only thing the accuser deserves is silence.

"But when the leading priests and the elders made their accusations against him, Jesus remained silent."
mat.27.12.NLT
 
  • Thanks
Reactions: Lax
So you're the one who understands the book! ! ! Look at you! ! !

The more time goes the more I understand God's silence. Best strategy even I use in my personal life these days: stay silent.

Anyways, quoting John Lennox: The notion that God is trying to keep us down is the original LlE.

Another one: The first task God gave the first humans was science (Taxonomy) - name the animals.

View: https://youtu.be/LTQ0iANA3uM?si=GWfs7HaqZ6pmOnzH

To add: if you don't believe Christ rose from the dead I'd just like to point that uko kwenye giza and no matter how much you think you know truly truly hujui! !

Na utaachwa huko huko kwenye kutokujua, no one is going force you to change your mind! Until you decide by your own free will that there is someone greater than you, and that he only can guide you to the truth.

(not debating)

Kondoo ni kondoo meku
Leo dunia imejipa kipaumbele kupigania imani ya kitumwa,

So called christ ni falsafa iliyozaliwa kipindi cha utumwa, na wanaofungamana na hii falsafa wengi wao ni watumwa,
I don't need mob to live rafiki,

Out of common sense kuamini kuwa eti so called Mungu alimkalisha kikao nyani wa crater, na kumpa thou shalt and thou shalt not, that is how bible robbed and corrupted the history of man..

Sifa ya kuwa follower wa christ ni lazima uukatae uhalisia, na kuugeuza uongo kuwa ukweli.

Nnaona aya ya mwisho umeamua kuniachia joka ill linitishe, man you are wasting your time, take care of ape!
 
To add: if you don't believe Christ rose from the dead I'd just like to point that uko kwenye giza and no matter how much you think you know truly truly hujui! !

Na utaachwa huko huko kwenye kutokujua, no one is going force you to change your mind! Until you decide by your own free will that there is someone greater than you, and that he only can guide you to the truth.

(not debating
Tumkataze kujitafutia maarifa ili atutugemee sisi kwenye do na don't

Ila ikatokea akavunja makubaliano tumfanye ajione mwenye dhambi, hatia na tumuaminishe kuwa ipo siku ataadhibiwa kwa makosa aliyotenda

Psychology of a priest,
I don't debate, I teach I unto man no longer to thrust his head into the sand of celestial beings but to have a terrestrial head that giveth meaning to earth.

Goodluck man, ape Psychology works better with reason than faith, the later is lie..
 
MAANDIKO YENYE UTATA
Kuna mistari mingine ambayo ni halali kibiblia ila imebadilishwa maeneo husika ipo mistari zaidi ya 50 kwenye agano jipya mfano Yohanna 7:53-8:11 kuhusu Yesu kuwepo hekaluni ila ghafla kipande kati ya 7:52 na 8:11 vimechomeka story ya mwanamke kahaba alietaka kupigwa mawe na ghafla mstari wa 12 unaendelea Yesu akiwa hekaluni hii inakubaliwa na wanatheolojia wote kuwa kilichomekwa na hakikuwepo kwenye maandiko orijino kama una biblia hapo kasome hiki kipande alafu utaelewa nachosema. Kanisa likaamua kuita vitabu vyenye maandiko na uandishi wa utata kuwa ni disputed books ilihali zina sifa zile zile za kuitwa pseudepigraphi na kutakiwa kufutwa kwenye biblia. Mfano Marko 16 inaishia mstari wa 8 ila 9-20 haikuwepo bali iliongezwa miaka mingi mbele na mtu asiyetambulika ila bado kipo kwenye biblia lakini kitabu cha Enoch au Yuda iskariot vimetolewa kwa hoja hiyo hiyo?? Kuna ajenda gani hapa wakuu?? Kipi tunafichwa?? Anyway disputed books kulingana na mwanatheolojia E. P. Sanders ni waefeso,wakolosai,2 wathesalonike, 1 & 2, Tito na vingine vingi.... Je kama vina kasoro kwanini vimeachwa??

VILIANDIKWA NA MUNGU?
Kuna hoja inasema vitabu vya Biblia viliandikwa kwa uweza wa Roho mtakatifu hivyo vile vilivyoachwa havikuandikwa na Roho mtakatifu sasa tujiulize GT kama kuna mistari ya Biblia imeongezwa na wanadamu mfano isaya,wimbo ulio bora,Tito,Yeremia,marko je bado hoja hii ina mashiko ilihali wanatheolojia wanakiri biblia ilichezewa kwa mifano niliyotoa hapo juu na kama si kweli viliandikwa kwa uweza wa Roho bali fahamu za wanadamu je kwanini basi ilitumika kuzuia vitabu kama Injili ya Yuda ama Thomaso?? Je hakuna agenda ya siri kwanini vilizuiwa alafu sisi tukaaminishwa tu kuwa havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu??
View attachment 830349
PSEUDEPIGRAPHI ZINAKINZANA NA BIBLE
kuna hoja ilitolewa kwamba vitabu vya biblia vinakinzana na Pseudipigrapha ndio maana vikatolewa kwenye bible ila cha kujiuliza GT mbona kuna taarifa zinakinzana ndani ya biblia lakini havijatolewa??

MIFANO
Mathayo 4:1-11 inasema mara tu baada ya ubatizo Yesu alienda kufunga siku 40 ila Yohana 2:1 anasema siku tatu baada ya kubatizwa Yesu alikua kwenye harusi ya Cana!!

Au mathayo 27:44 wale wezi wawili walimtukana Yesu ila luka 23:39 inasema mmoja alitukana mwingine alimtetea.

Mathayo 28:9 inasema Yesu baada ya kufufuka aliruhusu Mary amshike ila Yohana 20:17 Inaonyesha baada ya kufufuka na kuonana na mary, Yesu akamzuia kumgusa sababu alikua bado hajarudi kwa Baba!!

Hiyo ni mifano tu ila kuna mistari zaidi ya mamia inayopishana taarifa ila vimeachwa kwenye bible lakini pseudipigraphi zikipishana hata neno moja ndio wanajengea hoja kwamba ndio sababu havipo kwenye bible je sababu hii ilisababisha vitolewe ama kuna mengi tunafichwa?

HITIMISHO
Kwa kuhitimisha labda niseme tu kumekuwa na maswali mengi juu ya chanzo hasa cha vitabu vingine kutolewa kwenye biblia na vingine kuachwa wakato vina kasoro zile zile..... Na hata mkuu Pendael24 alishawahi kuhoji kwamba kama tunafikiri biblia imechezewa je Mungu haoni hadi aruhusu hilo?? Na akahoji mbona Biblia inatenda ina maana kazi ya forgery inaweza kuwa na nguvu za Mungu na akanihoji je wachungaji wote hawa wakubwa hawalijui hili kiasi Mungu awaache watumie bibloa iliyochakachuliwa?? Kiukweli nilikosa majibu ila nategemea leo humu majibu yote yatapatikana

NB: Mimi nimechokoza mada tu ili kupata maarifa ya GT ila sio msimamo wangu kuwa bible ni batili au Qur'an ndio sahihi hivyo tunapojadili hoja humu tuhakikishe tunazingatia hilo pia udini na kejeli na matusi sio uwanja wake humu, nataka tujadili kwa kujifunza sio kupambana.

Karibuni kwa mjadala
Ngoja nikujibu hili hakuna kitu kilichofichwq na ndio maana hata wewe umeleta maandiko hapa yangefichwa usingeleta,Biblia inasema hv kama mambo yote yangeandikwa aliyoyafanya yesu basi hta idadi ya biblia isingetoka kwa hyo jua tu kuna mengi sana yameachwa umeletewa haya machache ili uamini.na Binlia ina mambo.mengi sna na kwa kweli kupata majibuninahitaji uulize maranyingi kidogo utapatanjibu sahihi kuna vitabu vingi vimeachwa kwa sababu ya kukosa uvuvio wa roho mtakatifu,na vitu vingine unasoma hauelewi.lkn inakuwa sababu tu ya mazingira yani ukienda israel katembea kule aisee unarudi umejifunza na kupata majibu mengi zaidi mfano wa kusema ni rahis ngamia kupemya kwenye tundu la sindano kwao lilikuwa sio fumbo kwa wana israel lkn kwa wasimaji wa biblia lilikuwa swali gumu sana ila badae watu waliotembea israel waliketa majibu mazuri zaidi.Bibli ni.maktaba ya vitabu kwa hyo soma mara kwa mara utaelewa vitu vingi sana na nguvu ya Mungu ipo kwa macho nimeona unaweza soma Biblia tu mapepo yakakimbia hyo ni nguvu ya Mungu ndani ya Neno.
 
Si sahihi kupunguza maneno, au kutokusema ukweli kwamba, baadhi ya mistar katika haikuandikwa na muhusika!! As long as limeandikwa hakukuwa na haja ya kuficha, labda ni mtoto wa isaya au ni ndugu wa mtume flani, au nimtume flan nae aliongezea maneno yake: all in all tujifunze vilivyokweny bible, na tuapply maan, bible ni ulimwengu mwingine wenye tafsir zingine!! Na si maneno yoote yanayoonekana katika macho ya mtu!! Weny macho huwa wanaona ujumbe maalum uliopo kweny Bible, japo upo nusu nusu! Lakin umetoa pich kamili ya Njia maalum ya kufany!! Keep on opening your eyes and chasing the true way or path
 
Back
Top Bottom