Recent content by odoru

  1. odoru

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Gari hapa dar hakuna sehemu utaiona Mbali

    Atar
  2. odoru

    JamiiForums Tanzania Nina amkiwa sana. Hivi ndiyo nishakua mhenga hivi au ndo wameona sina hela?

    Ndivyo msemavyo wanawake
  3. odoru

    JamiiForums Tanzania Nina amkiwa sana. Hivi ndiyo nishakua mhenga hivi au ndo wameona sina hela?

    Wewe kijana mdogo? Bado miaka 10 ufike 45 ukose vigezo vya kupata ajira serikalini. Ni umri ambao unatakiwa uwe na mchumba au mke, uwe na kazi ya kukuingizia kipato na ikiwezekana uwe na kiwanja ama asset ya aina yeyote maana mwanaume maisha yanaanza ukiwa na miaka 40
  4. odoru

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Cambodia ajiuzulu

    Ongeza nyama
  5. odoru

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Kwani ulikuwa hujui? Kwamba Wachagga ni jamii yenye makabila ya Wakibosho, Wamachame, Wamarangu, na Warombo?
  6. odoru

    JamiiForums Tanzania Robert Kiyosaki: it's time to buy bitcoin, because "everything will collapse"...

    Sure. Ninamfuatilia sana ila hapa sijamuelewa
  7. odoru

    JamiiForums Tanzania Robert Kiyosaki: it's time to buy bitcoin, because "everything will collapse"...

    Poor Dady Kiyosaki
  8. odoru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta aagizwa kurejesha bunduki zote familia yake inazomiliki

    Kwani hujui? Au unajizima data?
  9. odoru

    JamiiForums Tanzania Tukubali tu Kiingereza sio lugha yetu katika masuala mazito, tusiwe watumwa

    Huko Kenya nako 'mpini" wanaita 'jembe Stick"
  10. odoru

    JamiiForums Tanzania Athari za michezo ya utotoni

    Asa nte kwa usha uri
  11. odoru

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi katika vyombo vya ulinzi na usalama inahitaji uzalendo hasa

    Duh sasa unataka kusemaje?
  12. odoru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta aagizwa kurejesha bunduki zote familia yake inazomiliki

    Ndiyo maana Tanzania Mkristo thehebu la Protestant haruhusiwi kuwa rais. Sasa ninaona logic. Protestant is too religious hata kwa vitu vya kawaida na kaishasimamia jambo walau kwa hisia tu basi ni hapohapo
  13. odoru

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kupata Leseni ya Biashara Manispaa ya Temeke ni Biashara pia ya watu, lazima utoe rushwa ndio upate huduma

    Maombi yote ya leseni yanafanywa kupitia mfumo wa tausi.tamisemi.go.tz na hakuna kufika ofisi za Halmashauri. Kila kitu kipo humo ikiwemo control number. Huko Halmashauri wanaweza kukusaidia tu namna ya kutuma maombi basi.
Back
Top Bottom